Mtindo wa viongozi kushitakiana si dalili njema kama Taifa, tujirejebishe

Mkuu tulia ushtakiwe kama una makosa. Hivi kweli hata aibu ya kuandika haya huna? Yaani watu wafanye makosa yanayokatazwa na sheria alafu waachiwe kwa sababu tu ni viongozi? Jamii unafikiri itatawalika tukishafikia hapa? Viongozi kumbuka wanaongoza kwa kuweka mfano, je haya ndio unataka tujifunze kwao?
Hata hivyo haya mambo ya kushhtakiana hayajaanza leo, yamekuwepo awamu karibia zote. Je umesahau habari za Mramba na Yona? Je profesa Mahalu!
Kilio kwa sasa ni kikubwa kwa sababu watoto wa mwenda zake mlitenda ndambi na makosa mengi mkifikiri mna kinga. Ni vizuri mkawa tayari pia kuyakabili makosa yenu mbele ya hakimu na sheria.
Mimi ni mawazo yangu binafsi na nawatakia yaliyo mema kama Taifa.

Warnings: Hii tabia iliyoanza kiongozi akiachia madaraka, basi mnaanza kushitakiana ni dalili mbovu kabisa kama Taifa. Mambo mengine kama kiongozi yalishapita ni busara na hekima kuyaacha yapite.

Kumbuka uongozi siyo suala la kudumu itafikia wakati mtaachia hatamu na wanaweza kuingia tena ktk uongozi wengine watakao kutarget wewe binafsi na jamii yako.

Nawataenda mbali zaidi na kuondoa kinga ya kutoshitakiwa kwa kiongozi. Na kwa mtindo huo mnatengeneza siasa za kuanza kupiga kura kwa ukabila na ukanda ili kuja kukomoa watu fulani. Viongozi kuweni makini.

Nawahusia kwa sauti ni kitoka nyikani.
 
Hii ni hoja mpya. Lakini angalau kwa sasa sheria imewapa hiyo kinga. Ukija na hoja kwamba hizi kinga ziondoke utakuwa na hoja ila sio hicho ulicho andika kwneye post yako, ni ujinga mtupu.
Kaa kmya hujuwi lolote,, Kama vp na viongozi wa juu waindolewe Kinga ili kuwe ba double standard

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Toeni Kinga kwa raisi,spika,wazir mkuu na wengine walio na Kinga ili sheria ikate kotekote

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Mkuu nadhani ni wakati muafaka wa kuondoa KINGA ZA KUTOSHITAKIWA KWA VIONGOZI WOTE. RAIS asishitakiwe kwa masuala ya KIUTAWALA ila anaweza kushitakiwa Kwa mambo ya Ubadilifu wa rasilimali za Taifa na uvunjaji wa HAKI ZA BINADAMU.
 
Mimi ni mawazo yangu binafsi na nawatakia yaliyo mema kama Taifa.

Warnings: Hii tabia iliyoanza kiongozi akiachia madaraka, basi mnaanza kushitakiana ni dalili mbovu kabisa kama Taifa. Mambo mengine kama kiongozi yalishapita ni busara na hekima kuyaacha yapite.

Kumbuka uongozi siyo suala la kudumu itafikia wakati mtaachia hatamu na wanaweza kuingia tena ktk uongozi wengine watakao kutarget wewe binafsi na jamii yako.

Nawataenda mbali zaidi na kuondoa kinga ya kutoshitakiwa kwa kiongozi. Na kwa mtindo huo mnatengeneza siasa za kuanza kupiga kura kwa ukabila na ukanda ili kuja kukomoa watu fulani. Viongozi kuweni makini.

Nawahusia kwa sauti ni kitoka nyikani.

Mataga tulieni mtu mmoja tu Sabaya mnaanza kuwa na hekima tulieni muoge kwanza lzm nyumba isafishwe Ili iwe fundisho kwa vizazi vijavyo, ndo nzuri ukitenda nawe utendwe.
Kisasi ndio msingi wa haki.
Visasi uleta amani kwenye Jamii,hofu ya visasi uifanya Jamii kutokutenda uovu.
Maana muosha uoshwa.
 
Yaani uwatende uovu wenzio then wewe usitendwe,we ni nani.
Afrika itakuwa na maendeleo tu pale viongozi watakapoanza kuozea jela pindi madaraka yakikoma.
Mabara yote yaliyoendelea huwezi kuta watawala wanawachezea wananchi isipokuwa afrika pekee
 
Mimi ni mawazo yangu binafsi na nawatakia yaliyo mema kama Taifa.

Warnings: Hii tabia iliyoanza kiongozi akiachia madaraka, basi mnaanza kushitakiana ni dalili mbovu kabisa kama Taifa. Mambo mengine kama kiongozi yalishapita ni busara na hekima kuyaacha yapite.

Kumbuka uongozi siyo suala la kudumu itafikia wakati mtaachia hatamu na wanaweza kuingia tena ktk uongozi wengine watakao kutarget wewe binafsi na jamii yako.

Nawataenda mbali zaidi na kuondoa kinga ya kutoshitakiwa kwa kiongozi. Na kwa mtindo huo mnatengeneza siasa za kuanza kupiga kura kwa ukabila na ukanda ili kuja kukomoa watu fulani. Viongozi kuweni makini.

Nawahusia kwa sauti ni kitoka nyikani.
Kwani kuna kiongozi alieshitakiwa?
Aliyeshitakiwa ni jambazi na ma henchmen wake.
Leta ushahidi kama kuna kiongozi yeyote aliyeshakiwa.
 
Warnings: Hii tabia iliyoanza kiongozi akiachia madaraka, basi mnaanza kushitakiana ni dalili mbovu kabisa kama Taifa. Mambo mengine kama kiongozi yalishapita ni busara na hekima kuyaacha yapite.
Kama yapi hutaki yasemwe?
Kuonea watu?
Kupora watu?
Kubaka watu?
Kuua watu?
Karibu tukudadavue vilivyo
 
Kumbuka uongozi siyo suala la kudumu itafikia wakati mtaachia hatamu na wanaweza kuingia tena ktk uongozi wengine watakao kutarget wewe binafsi na jamii yako.
Mwendazake nae alishtakiwa kwa Mola jua hilo.
 
Back
Top Bottom