Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Thank you sirNa tabia hii mara nyingi hufanya watu wabadiri katiba ili wasitoke madarakani maana wakitoka tu watu wanawadaka.
Wanaofurahia haya hawafikirii yajayo. Ile ofisi iko empty kwa sasa mtu anafuma ukili tu. Maback bench wanaremote zao kutoka Chalinze.
Nafikiri watu tunashindwa kuona picha kamili na hatari kubwa inayotunyemelea kuliko tunakojaribu ku solve.Tulikua na smooth transition of power kwa sababu haya mambo hayakuwepo.
Mtoa mada naomba nikuulize.Mimi ni mawazo yangu binafsi na nawatakia yaliyo mema kama Taifa.
Warnings: Hii tabia iliyoanza kiongozi akiachia madaraka, basi mnaanza kushitakiana ni dalili mbovu kabisa kama Taifa. Mambo mengine kama kiongozi yalishapita ni busara na hekima kuyaacha yapite.
Kumbuka uongozi siyo suala la kudumu itafikia wakati mtaachia hatamu na wanaweza kuingia tena ktk uongozi wengine watakao kutarget wewe binafsi na jamii yako.
Nawataenda mbali zaidi na kuondoa kinga ya kutoshitakiwa kwa kiongozi. Na kwa mtindo huo mnatengeneza siasa za kuanza kupiga kura kwa ukabila na ukanda ili kuja kukomoa watu fulani. Viongozi kuweni makini.
Nawahusia kwa sauti ni kitoka nyikani.
Hiyo ipo tayari. Kama kuna kundi litaumia kwa utawala fulani, muda wa kura ukija kuanzia kwenye kura za maoni tutahamasishana kumchagua our man, our son.Mimi ni mawazo yangu binafsi na nawatakia yaliyo mema kama Taifa.
Warnings: Hii tabia iliyoanza kiongozi akiachia madaraka, basi mnaanza kushitakiana ni dalili mbovu kabisa kama Taifa. Mambo mengine kama kiongozi yalishapita ni busara na hekima kuyaacha yapite.
Kumbuka uongozi siyo suala la kudumu itafikia wakati mtaachia hatamu na wanaweza kuingia tena ktk uongozi wengine watakao kutarget wewe binafsi na jamii yako.
Nawataenda mbali zaidi na kuondoa kinga ya kutoshitakiwa kwa kiongozi. Na kwa mtindo huo mnatengeneza siasa za kuanza kupiga kura kwa ukabila na ukanda ili kuja kukomoa watu fulani. Viongozi kuweni makini.
Nawahusia kwa sauti ni kitoka nyikani.
Mimi ni mawazo yangu binafsi na nawatakia yaliyo mema kama Taifa.

Viongozi wawe makini tu ndo watu kutoka nyikani tunawaambia maono ambayo wenda hawayaoni.Hiyo ipo tayari. Kama kuna kundi litaumia kwa utawala fulani, muda wa kura ukija kuanzia kwenye kura za maoni tutahamasishana kumchagua our man, our son.
Uko sahihi sana mkuuNi busara na hekima kuyaacha yapite? So ukiwa kiongozi ukafanya madudu uachwe just tu ulikuwa kiongozi.
Yaani sheria kwako haifanyi kazi just because ya cheo?
Kuna haja gani ya kufuata sheria kama kundi flani la watanzania sheria haiwagusi wengine inawagusa?
Mbona hukuyasema haya wakati Magu Yuko madarakani ?Toeni Kinga kwa raisi,spika,wazir mkuu na wengine walio na Kinga ili sheria ikate kotekote
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Upumbavu mtupu . Yaani majamaa yaue watu eti wastahiwe ?!. Basi sasa haki haina maana. Au kwa kuwa yaliwapata nguruwe na si watu !!Mimi ni mawazo yangu binafsi na nawatakia yaliyo mema kama Taifa.
Warnings: Hii tabia iliyoanza kiongozi akiachia madaraka, basi mnaanza kushitakiana ni dalili mbovu kabisa kama Taifa. Mambo mengine kama kiongozi yalishapita ni busara na hekima kuyaacha yapite.
Kumbuka uongozi siyo suala la kudumu itafikia wakati mtaachia hatamu na wanaweza kuingia tena ktk uongozi wengine watakao kutarget wewe binafsi na jamii yako.
Nawataenda mbali zaidi na kuondoa kinga ya kutoshitakiwa kwa kiongozi. Na kwa mtindo huo mnatengeneza siasa za kuanza kupiga kura kwa ukabila na ukanda ili kuja kukomoa watu fulani. Viongozi kuweni makini.
Nawahusia kwa sauti ni kitoka nyikani.
Hapana hata kidogo. Huu ni utaratibu mzuri ili viongozi wawe wadilifu wawepo madarakani. "It is a leadership check and balance mechanism. We cannot let unscrupulous leaders go unpunished. They have to pay for their wrongdoing".Mimi ni mawazo yangu binafsi na nawatakia yaliyo mema kama Taifa.
Warnings: Hii tabia iliyoanza kiongozi akiachia madaraka, basi mnaanza kushitakiana ni dalili mbovu kabisa kama Taifa. Mambo mengine kama kiongozi yalishapita ni busara na hekima kuyaacha yapite.
Kumbuka uongozi siyo suala la kudumu itafikia wakati mtaachia hatamu na wanaweza kuingia tena ktk uongozi wengine watakao kutarget wewe binafsi na jamii yako.
Nawataenda mbali zaidi na kuondoa kinga ya kutoshitakiwa kwa kiongozi. Na kwa mtindo huo mnatengeneza siasa za kuanza kupiga kura kwa ukabila na ukanda ili kuja kukomoa watu fulani. Viongozi kuweni makini.
Nawahusia kwa sauti ni kitoka nyikani.
Mimi ni mawazo yangu binafsi na nawatakia yaliyo mema kama Taifa.
Warnings: Hii tabia iliyoanza kiongozi akiachia madaraka, basi mnaanza kushitakiana ni dalili mbovu kabisa kama Taifa. Mambo mengine kama kiongozi yalishapita ni busara na hekima kuyaacha yapite.
Kumbuka uongozi siyo suala la kudumu itafikia wakati mtaachia hatamu na wanaweza kuingia tena ktk uongozi wengine watakao kutarget wewe binafsi na jamii yako.
Nawataenda mbali zaidi na kuondoa kinga ya kutoshitakiwa kwa kiongozi. Na kwa mtindo huo mnatengeneza siasa za kuanza kupiga kura kwa ukabila na ukanda ili kuja kukomoa watu fulani. Viongozi kuweni makini.
Nawahusia kwa sauti ni kitoka nyikani.
The retaliation would be of devastating. And this would come in any form, and that, regardless of any wrongdoings. The basis of it would only be under pretext of ,you punished my man or my community, and now is your turn.Hapana hata kidogo. Huu ni utaratibu mzuri ili viongozi wawe wadilifu wawepo madarakani. "It is a leadership check and balance mechanism. We cannot let unscrupulous leaders go unpunished. They have to pay for their wrongdoing".
Hakuna haja ya kumwomba msamaha, huyu ni mpumbavu kweliMkuu mawazo yako hayo ni yakipuuzi sana. Samahani kwa hilo.
Hivi kwa mantiki hiyo ni maovu mangapi yatakuwa yanafumbiwa macho? Je utawala wa sheria utakuwa na maana gani?
Hivi huoni tutakuwa tunarudi kwenye barbaric and primitive eras ambapo kila mtu aliamua kufanya atakavyo?
Mkuu mawazo yako hayafai hata mtoto wa chekechea atakucheka.
Sorry i am not sorry.
Wewe upo nyuma mno kifikra! Mtindo huu wa kuwashitaki viongozi waliotumia vibaya madaraka ndio mtindo mzuri zaidi na ndio uliopo nchi zilizoendelea zote kama USA, Ulaya, n.k. Wewe ni mmoja wa wale waliofaidika na ukatili wa Magufuli?Mimi ni mawazo yangu binafsi na nawatakia yaliyo mema kama Taifa.
Warnings: Hii tabia iliyoanza kiongozi akiachia madaraka, basi mnaanza kushitakiana ni dalili mbovu kabisa kama Taifa. Mambo mengine kama kiongozi yalishapita ni busara na hekima kuyaacha yapite.
Kumbuka uongozi siyo suala la kudumu itafikia wakati mtaachia hatamu na wanaweza kuingia tena ktk uongozi wengine watakao kutarget wewe binafsi na jamii yako.
Nawataenda mbali zaidi na kuondoa kinga ya kutoshitakiwa kwa kiongozi. Na kwa mtindo huo mnatengeneza siasa za kuanza kupiga kura kwa ukabila na ukanda ili kuja kukomoa watu fulani. Viongozi kuweni makini.
Nawahusia kwa sauti ni kitoka nyikani.
Mimi ni mawazo yangu binafsi na nawatakia yaliyo mema kama Taifa.
Warnings: Hii tabia iliyoanza kiongozi akiachia madaraka, basi mnaanza kushitakiana ni dalili mbovu kabisa kama Taifa. Mambo mengine kama kiongozi yalishapita ni busara na hekima kuyaacha yapite.
Kumbuka uongozi siyo suala la kudumu itafikia wakati mtaachia hatamu na wanaweza kuingia tena ktk uongozi wengine watakao kutarget wewe binafsi na jamii yako.
Nawataenda mbali zaidi na kuondoa kinga ya kutoshitakiwa kwa kiongozi. Na kwa mtindo huo mnatengeneza siasa za kuanza kupiga kura kwa ukabila na ukanda ili kuja kukomoa watu fulani. Viongozi kuweni makini.
Nawahusia kwa sauti ni kitoka nyikani.
Ni nini hitimisho la hoja yako mkuu?malizia tu tujue unayemteteaMimi ni mawazo yangu binafsi na nawatakia yaliyo mema kama Taifa.