Mtindo wa viongozi kushitakiana si dalili njema kama Taifa, tujirejebishe

 
Umetoa mawazo bila kuyatafakari. Ebu jaribu ku criticise hoja yako uone inavyoyeyuka...
 
Waache watengeneze hii migogoro watafurahi tuu baadaye

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Kaa kmya hujuwi lolote,, Kama vp na viongozi wa juu waindolewe Kinga ili kuwe ba double standard

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Acha upumbavu wewe! Hatuwezi kuwa na taifa la kulea magaidi eti kisa kulindana.

Dictator alitumia madaraka vibaya na akawapa wateule wake nguvu ya kufanya kila aina ya uovu. Lazima washughulikiwe ili hii tabia isijirudie.
Toeni Kinga kwa raisi,spika,wazir mkuu na wengine walio na Kinga ili sheria ikate kotekote

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Aiseee.......wananzengo wana hasira na Sabaya.... πŸ™‚

Kwangu mimi Sabaya awe somo kwa hawa vijana wanaopewa madaraka nu kudhania kwamba wanamiliki hata hewa wanayoivuta. Bahati mbaya sana wenye dhamana ya uongozi akili inawarudia wakishatoka madarakani! Sijui ni kwa nini aiseee...

Sabaya ashughulikiwe na sheria za nchi yetu. Ingawa yeye wapo wengi aliwanyima hiyo fursa ya kusikilizwa mbele ya sheria.

Ushauri wangu WOTE mliopo madarakani.....jifunzeni kutawala kwa haki. Ipo siku usiyoijua, makosa au uhalifu wako utakurudia kwa kasi ya ajabu.
 
Ndo maana wanaapa kulinda katiba ww maana hiyo ndo sheria mama ukizingua inakuzingua km nikutaka twende jienyeji basi hata wanao fanya ujamabazi na ubakaji nao wana jamiii zao nao tusiwakamate maana tutaleta ukanda[emoji24][emoji24]
 
Wewe ndiyo mawazo yako yakipumbavu,, hata hufikirii kwann kusiwe na double standard? Hata viongozi walio na Kinga ya kutoshitakiwa iondolewe ili msumeno ule kotekote

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Yan mkuu umekaa kabisa ukaandika huu uzi eti tujirejebishe. Kwanza kuandika hujui. Yan uwe kiongozi utuibiwe utombe wake za watu uchukue hela kwa nguvu alafu usishtakiwe kwakua kiongozi.. PUMBAVU KABISA.
 
Ndo maana wanaapa kulinda katiba ww maana hiyo ndo sheria mama ukizingua inakuzingua km nikutaka twende jienyeji basi hata wanao fanya ujamabazi na ubakaji nao wana jamiii zao nao tusiwakamate maana tutaleta ukanda[emoji24][emoji24]
Jifunze kusoma katikati ya mistari nasiyo kufahamu kusoma maandishi tu yenyewe.
 
Kuna nchi zingine hata Rais anawajibishwa kwa ukiukwaji wa sheria ila sisi bado sana

Kwa hiyo mleta mada unataka mwingine aje na kujiamulia na kusema viongozi wote wa serikali hawawezi kishtakiwa

Acha sheria ifuatwe na Katiba ni lazima sio ombi
 
Na tabia hii mara nyingi hufanya watu wabadiri katiba ili wasitoke madarakani maana wakitoka tu watu wanawadaka.
Wanaofurahia haya hawafikirii yajayo. Ile ofisi iko empty kwa sasa mtu anafuma ukili tu. Maback bench wanaremote zao kutoka Chalinze.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…