Mtindo wa viongozi kushitakiana si dalili njema kama Taifa, tujirejebishe

Tulikua na smooth transition of power kwa sababu haya mambo hayakuwepo.
 
Na tabia hii mara nyingi hufanya watu wabadiri katiba ili wasitoke madarakani maana wakitoka tu watu wanawadaka.
Wanaofurahia haya hawafikirii yajayo. Ile ofisi iko empty kwa sasa mtu anafuma ukili tu. Maback bench wanaremote zao kutoka Chalinze.
Thank you sir
 
Reactions: mmh
Tulikua na smooth transition of power kwa sababu haya mambo hayakuwepo.
Nafikiri watu tunashindwa kuona picha kamili na hatari kubwa inayotunyemelea kuliko tunakojaribu ku solve.
 
Reactions: mmh
Mtoa mada naomba nikuulize.

kiongozi gani kamshitaki kiongozi mwenzie ?

kamshitaki kiongozi mwenzie kwa tuhuma zipi ?
 
Hiyo ipo tayari. Kama kuna kundi litaumia kwa utawala fulani, muda wa kura ukija kuanzia kwenye kura za maoni tutahamasishana kumchagua our man, our son.
 

Kwa udhalimu ulioufanya unahisi na ww utashitakiwa? Yaani ukiwa kiongozi unaweza kufanya unyama wowote kisa hutashitakiwa ili isilete picha mbaya. Tena ingekuwa rais anashitakiwa kama magufuli angekuwa hai ndio alipaswa kuwa namba moja ya kushitakiwa.
 
Hiyo ipo tayari. Kama kuna kundi litaumia kwa utawala fulani, muda wa kura ukija kuanzia kwenye kura za maoni tutahamasishana kumchagua our man, our son.
Viongozi wawe makini tu ndo watu kutoka nyikani tunawaambia maono ambayo wenda hawayaoni.

The repercussion of the whole saga would be of overwhelming . For leaders, get together your bits and pieces , let loose or pick up if any and move on.
 
Uko sahihi sana mkuu
 
Upumbavu mtupu . Yaani majamaa yaue watu eti wastahiwe ?!. Basi sasa haki haina maana. Au kwa kuwa yaliwapata nguruwe na si watu !!
 
Hapana hata kidogo. Huu ni utaratibu mzuri ili viongozi wawe wadilifu wawepo madarakani. "It is a leadership check and balance mechanism. We cannot let unscrupulous leaders go unpunished. They have to pay for their wrongdoing".
 


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapana hata kidogo. Huu ni utaratibu mzuri ili viongozi wawe wadilifu wawepo madarakani. "It is a leadership check and balance mechanism. We cannot let unscrupulous leaders go unpunished. They have to pay for their wrongdoing".
The retaliation would be of devastating. And this would come in any form, and that, regardless of any wrongdoings. The basis of it would only be under pretext of ,you punished my man or my community, and now is your turn.

This situation will trigger in additional bit into the chemistry, that, during voting we have to vote in anyway that we can protect our people from our community.

While on the other hand, the administration will be busy changing even the constitution so that they can remain in power for avoiding the obvious consequences.

Again, leaders have to be extremely careful around these things.
 
Hakuna haja ya kumwomba msamaha, huyu ni mpumbavu kweli
 
Wewe upo nyuma mno kifikra! Mtindo huu wa kuwashitaki viongozi waliotumia vibaya madaraka ndio mtindo mzuri zaidi na ndio uliopo nchi zilizoendelea zote kama USA, Ulaya, n.k. Wewe ni mmoja wa wale waliofaidika na ukatili wa Magufuli?
 

..labda ungeshauri Raisi na wateule wake wote wawe na KINGA ya kutoshtakiwa wanapokuwa ktk nyadhifa zao na wanapoondoka ktk nyadhifa hizo.

..Na kwasababu CCM wana super-majority BUNGENI basi wanaweza kupitisha sheria hiyo bila kizuizi chochote.

..bila kuwa na sheria hiyo suala kushtakiana litaendelea kuwepo na litategemea zaidi utashi wa aliyeingia madarakani yuko tayari kiasi gani kuvumilia na kufukia maovu, na madudu ya awamu iliyomtangulia.
 
Ni nini hitimisho la hoja yako mkuu?malizia tu tujue unayemtetea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…