Lupweko
JF-Expert Member
- Mar 26, 2009
- 23,566
- 24,891
Hebu msikilizeni kwa umakini sana na mpigie mstari hizo tarehe, maana mimi naona tarehe zinarudi nyuma kuanzia mwezi wa nne kwenda mwezi wa tatu. Dakika mbili tu zimeharibu kila kitu.
Anachosema:
1. Yanga walikubaliana na Singida kuwa watailipa Singida sh. 30M kwa awamu mbili, ambapo 15M zilipwe mwisho wa mwezi wa NNE na 15M zilizobaki zilipwe mwisho wa mwezi wa SITA.
2. Ilipofika tarehe 30/04/2024 (mwisho wa mwezi wa nne) Yanga ilifanya malipo ya sh. 30M (sio 15M tena).
3. Baada ya kufanya malipo klabu ya Yanga iliruhusiwa kukaa na mchezaji kufanya mazungumzo kuhusu maslahi binafsi
4. Tarehe 27/03/2024 Yanga ilimtumia Yusuph Kagoma tiketi ya ndege kutoka Kigoma aje kufanya maongezi na Yanga.
5. Tarehe 28/03/2024 Yanga ilimsainisha Kagoma mkataba