Mtiririko wa tarehe zilizotajwa na mwanasheria wa Yanga kuhusu Kagoma unakataa, na ni aibu kwake na Klabu yake

Mtiririko wa tarehe zilizotajwa na mwanasheria wa Yanga kuhusu Kagoma unakataa, na ni aibu kwake na Klabu yake

Hebu msikilizeni kwa umakini sana na mpigie mstari hizo tarehe, maana mimi naona tarehe zinarudi nyuma kuanzia mwezi wa nne kwenda mwezi wa tatu. Dakika mbili tu zimeharibu kila kitu.

Anachosema:
1. Yanga walikubaliana na Singida kuwa watailipa Singida sh. 30M kwa awamu mbili, ambapo 15M zilipwe mwisho wa mwezi wa NNE na 15M zilizobaki zilipwe mwisho wa mwezi wa SITA.
2. Ilipofika tarehe 30/04/2024 (mwisho wa mwezi wa nne) Yanga ilifanya malipo ya sh. 30M (sio 15M tena).
3. Baada ya kufanya malipo klabu ya Yanga iliruhusiwa kukaa na mchezaji kufanya mazungumzo kuhusu maslahi binafsi
4. Tarehe 27/03/2024 Yanga ilimtumia Yusuph Kagoma tiketi ya ndege kutoka Kigoma aje kufanya maongezi na Yanga.
5. Tarehe 28/03/2024 Yanga ilimsainisha Kagoma mkataba

View attachment 3094173
Wenye akil ni wa3 Mzee kikwete,Mzee manara na Mzee Magoma.
 
Wenye akil ni wa3 Mzee kikwete,Mzee manara na Mzee Magoma.
Kama Magoma mnamuona ana akili basi inabidi na mashabiki wa simba wakampigie magoti mzee Kilomoni kwa kumuomba msamaha kuwa walimkosea sana kipindi ambacho alikuwa anadai maslahi ya Simba kwa kukataa kutoa hati la jengo la Simba kwa Mo dweji na kutoridhika kwa mchakato wa mabadiliko ya Simba.
 
Huwezi kua na akili timamu useme utoto kama huo uki deposit pesa bank lazima uandike malipo kwa ajili ya nini,sasa unawezaje kulipa Nickson isomeke Kagoma? Tatizo ni kujifanya una akili wakati huna, kwenye maelezo ya zaidi ya nusu saa umechukua clip ya dakika mbili ili u justify u mbumbumbu wako
Kuna Watu huwa wanakopa akili za uzuzu kuhalalisha fikra zao potofu!
 
Binafsi naona ilikuwa busara uongozi wa Yanga kukaa kimya tu na kusubiria kamati ya sheria ije na maamuzi. Hii press ya kuonesha watu kuhusu nini kilichotokea kwangu naona haikuwa na maana.
Afadhali umeona ukweli kwani hata "mkataba wenyewe " Yanga ni seller na Singida Fountain Gate ni buyer.Kuuweka hadharani ni kujivua nguo.Never wash your dirty linen in public.
 
Binafsi naona ilikuwa busara uongozi wa Yanga kukaa kimya tu na kusubiria kamati ya sheria ije na maamuzi. Hii press ya kuonesha watu kuhusu nini kilichotokea kwangu naona haikuwa na maana.
Yanga walikaa kimya hawakuwahi kuongea hili sakata alie anzisha na kufanya mambo yawe magumu ni huyo mropokaji wao acha iwe hivyo ubaya ubwela
 
Najaribu kufikiria tu yaani yanga imsainieshe Yusuph Kagoma kwa milioni 30 halafu aende simba then aombe msamaha wamsamehe ili aendelee kucheza simba... Hata km kichwani kumejaa mavi badala ya ubongo lazima ikufikirishe.
 
Huwezi kua na akili timamu useme utoto kama huo uki deposit pesa bank lazima uandike malipo kwa ajili ya nini,sasa unawezaje kulipa Nickson isomeke Kagoma? Tatizo ni kujifanya una akili wakati huna, kwenye maelezo ya zaidi ya nusu saa umechukua clip ya dakika mbili ili u justify u mbumbumbu wako
Niliposema kuna mambo yamekupita sikukosea. Hiyo bank slip inawezekana hujaiona. Yanga wameionyesha ya malipo kwa Singida FG, sio wachezaji. Details za malipo hazipo (bank nyingine ni optional). Na inawezekana pia Yanga walikwepa makusudi kuandika details
 
Binafsi naona ilikuwa busara uongozi wa Yanga kukaa kimya tu na kusubiria kamati ya sheria ije na maamuzi. Hii press ya kuonesha watu kuhusu nini kilichotokea kwangu naona haikuwa na maana.
Sarakasi za usajili katika soka letu zinachekesha sana.
 
NB: Kuna uwezekano mkubwa Singida FG wanachosema ni sahihi, kwamba malipo ya sh. 30M waliyofanya Yanga sio ya Yusufu Kagoma, ni ya deni la Nickson Kibabage ambalo nalo lilikuwa hizo hizo sh. 30M. Yanga imetumia nyaraka za Kibabage ili kuonyesha kuwa ni za Kagoma, maana mwisho wa mwezi wa NNE walikubaliana sh. 15M, na sio 30M zinazoonekana kwenye hati ya malipo
Acha ujinga wako, wamekwambia ililipwa jumla milioni 60, malipo ya kibabage ya deni na malipo ya kagoma yote kwa ujumla sasa ambacho ukielewi ni kipi kwenye maelezo ya mwanasheria?
 
Huwezi kua na akili timamu useme utoto kama huo uki deposit pesa bank lazima uandike malipo kwa ajili ya nini,sasa unawezaje kulipa Nickson isomeke Kagoma? Tatizo ni kujifanya una akili wakati huna, kwenye maelezo ya zaidi ya nusu saa umechukua clip ya dakika mbili ili u justify u mbumbumbu wako
Uyo lupweko ni amnazo ndio maana Patrick simon kasema Kuna watu watajaribu kupotosha kile alichokizungumza ivyo waandishi wawe makini na maelezo anayoyatoa sasa unaona uyo ni mmojawapo kaanza kuokoteza vipande vya clip anatuwekea hapa, ovyo kabisa!
 
sasa ambacho ukielewi ni kipi kwenye maelezo ya mwanasheria?
Kuna mwanasheria hapo?

超级截屏_20240912_170212.png
 
Uyo lupweko ni amnazo ndio maana Patrick simon kasema Kuna watu watajaribu kupotosha kile alichokizungumza ivyo waandishi wawe makini na maelezo anayoyatoa sasa unaona uyo ni mmojawapo kaanza kuokoteza vipande vya clip anatuwekea hapa, ovyo kabisa!
Tunapotosha nini? Kwani tumeedit chochote?
超级截屏_20240912_170212.png
 
sasa hapo hujaelewa nini???
mwezi wa 3 walianza mazungumzo na singida(akeleza mlolongo wa singida hadi kufika kumalizana mwezi wa 4)
akarudi kumalizana na mchezaji kagoma(ambaye kimaelezo walianza mazungumzo baada ya kumalizana na klabu)
 
Back
Top Bottom