Mtiririko wa tarehe zilizotajwa na mwanasheria wa Yanga kuhusu Kagoma unakataa, na ni aibu kwake na Klabu yake

Mtiririko wa tarehe zilizotajwa na mwanasheria wa Yanga kuhusu Kagoma unakataa, na ni aibu kwake na Klabu yake

Hebu msikilizeni kwa umakini sana na mpigie mstari hizo tarehe, maana mimi naona tarehe zinarudi nyuma kuanzia mwezi wa nne kwenda mwezi wa tatu. Dakika mbili tu zimeharibu kila kitu.

Anachosema:
1. Yanga walikubaliana na Singida kuwa watailipa Singida sh. 30M kwa awamu mbili, ambapo 15M zilipwe mwisho wa mwezi wa NNE na 15M zilizobaki zilipwe mwisho wa mwezi wa SITA.
2. Ilipofika tarehe 30/04/2024 (mwisho wa mwezi wa nne) Yanga ilifanya malipo ya sh. 30M (sio 15M tena).
3. Baada ya kufanya malipo klabu ya Yanga iliruhusiwa kukaa na mchezaji kufanya mazungumzo kuhusu maslahi binafsi
4. Tarehe 27/03/2024 Yanga ilimtumia Yusuph Kagoma tiketi ya ndege kutoka Kigoma aje kufanya maongezi na Yanga.
5. Tarehe 28/03/2024 Yanga ilimsainisha Kagoma mkataba

View attachment 3094173
michezaji ya bongo haijierewi

mswahiri mambo ya kufata sheria hawezi
zetu ngoma
 
sasa hapo hujaelewa nini???
mwezi wa 3 walianza mazungumzo na singida(akeleza mlolongo wa singida hadi kufika kumalizana mwezi wa 4)
akarudi kumalizana na mchezaji kagoma(ambaye kimaelezo walianza mazungumzo baada ya kumalizana na klabu)
Mwezi wa tatu Kagoma alisaini, wa nne ndio wakaanza mazungumzo na klabu ya mchezaji. Kama hujui kusoma basi walau sikiliza audio

Nyongeza:
Mwezi wa Tatu Yanga ilikuwa imefungiwa kusajili
 
Yanga walikaa kimya hawakuwahi kuongea hili sakata alie anzisha na kufanya mambo yawe magumu ni huyo mropokaji wao acha iwe hivyo ubaya ubwela
Ni sawa mkuu lakini hatukupaswa kutumia nguvu kuitisha press wakati tumeshafungua kesi na ipo kwa wahusika, kwanini kusiwe na uvumilivu hadi maamuzi yatakapotolewa?
 
sasa hapo hujaelewa nini???
mwezi wa 3 walianza mazungumzo na singida(akeleza mlolongo wa singida hadi kufika kumalizana mwezi wa 4)
akarudi kumalizana na mchezaji kagoma(ambaye kimaelezo walianza mazungumzo baada ya kumalizana na klabu)
Achana na wafuasi wa mangungu hao, wanakurupukaga tu kama nyumbu porini sijui akusikiliza kilichokuwa kinaongelewa au vipi ovyo kabisa
 
Achana na wafuasi wa mangungu hao, wanakurupukaga tu kama nyumbu porini sijui akusikiliza kilichokuwa kinaongelewa au vipi ovyo kabisa
Ndugu achana na izo tarehe kinacho angaliwa apo ni double signing iwe tarehe Iko sahihi au imekosewa, iwe Singida walirubusu au awakuruhusu, iwe Ali rubuniwa aubhajarubuniwa, iwe amesajiliwa kihalali au hajasajiliwa ki halali apo kama Kuna Double signing kwa mchezaji mwenye akili timamu akiwa na mwanasheria wake ni hatari kwa afya yake kwa kanuni za soka.

Iwe TFF, CAF au FIFA wanaweza waka kupendelea mchezaji ili ulinde kipaji chako ila kwa Double signing itakula kwako mchezaji tena kwa Maumivu makubwa.

Ata uko Duniani kosa kama ilo Lili fanyika Karne ya 19 sio kwa Karne za hivi karibuni.
 
Ndo maana nawaambia wangetulia tuu..kuna makosa ya kisheria kwny mikataba yao.
Mlifikiri natania nilipoandika so called mkataba seller ni Yanga na buyer ni Singida Fountain Gate.
 
Sasa mkataba wenu feki unaonyesha mmeuza mchezaji wa Singida Fountain Gate sio kununua.Kweli ndio maana waingereza walisema Never wash your dirty linen in public.
 
Sasa mkataba wenu feki unaonyesha mmeuza mchezaji wa Singida Fountain Gate sio kununua.Kweli ndio maana waingereza walisema Never wash your dirty linen in public.
Ndugu mbumbumbu ata kama ni kweli Kuna makosa ya ki uandishi, kinacho angaliwa (Mantiki) ni kweli Kuna biashara kati ya vilabu viwili?

Apo inaonyesha kweli kulikua na biashara kati ya Yanga na Singida ndio maana kukawa na uo mkataba wa mauziano haijalishi nani kauza na nani kanunua.
 
Makosa ya kiuandishi yanayokubalika ni typing error za spelling.Sio kosa linalobadilisha maana nzima ya mkataba.
Andika ukiwa unajua sheria hata kidogo usikurupuke tu.
 
Makosa ya kiuandishi yanayokubalika ni typing error za spelling.Sio kosa linalobadilisha maana nzima ya mkataba.
Andika ukiwa unajua sheria hata kidogo usikurupuke tu.
Ndugu mbumbumbu makosa ya mnunuaji na muuzaji katika mkataba hayaondoi uthibitisho kama jambo la kibiashara lilifanyika labda u ukane uo mkataba wenye sahihi zenu na dole gumba kwamba amu utambui.

Tena mkataba wenye uthibitisho wa video na picha mnato wakati matukio yote yakifanyika.

Yake mambo ya kumwambia mchezaji wewe sign tu mengine tuachie sisi mmenusurika kwa Lawi, Valentino Mashaka na Awesu Awesu sidhani kama na la Kagoma mtachomoka.

Ao wakina Magori ayo mambo waliyo yaleta katika usajili wenu wa msimu huu ni ya Karne ya 19.

Ata la Benard Morrison yeye na Hans pope wali bebwa na mlungula na Usimba wa baadhi ya watendaji wa Tff na kama Yanga wangeshinda shauri Lile ilikua baadhi ya watendaji ndani ya Tff wawajibishwe.

Wale watendaji walipo fanikisha Lile la Morrison msimu huu wamerudia Tena katika baadhi ya sajili za Simba ila kwasasa nadhani muda wao umeshafika.
 
Ndugu mbumbumbu makosa ya mnunuaji na muuzaji katika mkataba hayaondoi uthibitisho kama jambo la kibiashara lilifanyika labda u ukane uo mkataba wenye sahihi zenu na dole gumba kwamba amu utambui.

Tena mkataba wenye uthibitisho wa video na picha mnato wakati matukio yote yakifanyika.
Makaratasi yanayoonyesha ni mikataba haiwezi kuwa valid mpk ithibitishwe uvalidity wake haijalishi imeonekana kwny video mtembeo au picha mnato...kwenu mazezeta...
Mkiona Simba inajiachia na mchezaji Kagoma mjue kuna udhaifu au makosa yameonekana ktk mikataba hyo...
 
  • Kicheko
Reactions: Tui
Yanga seller Singida buyer ni Kwamba Yanga wamemuuza kagoma kwenda Singida na singida wakamnunua kagoma. Halafu singida wakamuuza kagoma Simba au lugha ya sheria ngumu inamaanisha kinyume
 
Makosa ya kiuandishi yanayokubalika ni typing error za spelling.Sio kosa linalobadilisha maana nzima ya mkataba.
Andika ukiwa unajua sheria hata kidogo usikurupuke tu.
Wenye akili ni 2 tuu huko
 
  • Kicheko
Reactions: Tui
Hela zilitakiwa ziingizwe awamu mbili(mkataba)
Kama patakuwa hakuna kifungu kidogo kinasema pamoja na kifungu x yanga inaweza ingiza pesa zote ,kama hakuna yanga ilivunja mkataba
 
Back
Top Bottom