Mtiririko wa tarehe zilizotajwa na mwanasheria wa Yanga kuhusu Kagoma unakataa, na ni aibu kwake na Klabu yake

Ona huyu mbumbumbu
Hivi Huwa hamna aibu
Yaani unaandika kitu mpaka watu wanajua hili ni kilaza
 
Ali Kamwe ndiye ameliibua hili sakata sasa inadhihirisha ile kauli ya Magoma kuwa viongozi wa Yanga ni mazezeta.
 
Viongozi wa Yanga washajua kama mashabiki wao ni mabwege nazi na wameshajua kucheza na akili zao ili waendelee kuwa mandondocha ili GSM aendelee kupiga hela kupitia mikataba ya kinyonyaji aliyoingia na kibaraka wake aliyemuweka pale HS.
Kwa hiyo wanayanga ni mabwege???
 
Sasa huko benki wanajua kweli kama ni malipo ya Kagoma ama kibabage?

Yaani hoja ya kuandika kwenye "Pay in slip" kuwa malipo ni ya nini haifanyi kisheria kuwa kweli malipo hayo ni kwa ajili ya hicho ulichoandika kwenye ankara hiyo ya benki.
 
Reactions: Tui
Kiswahili Cha "Buyer" na " Seller" ni nini.

Maana hapo Yanga wanaonekana ndiyo seller na Singida Fountain Gate ni Buyer.

Wana utopwinyo hebu nifafanulieni haya maneno.
 
Reactions: Tui
Najaribu kufikiria tu yaani yanga imsainieshe Yusuph Kagoma kwa milioni 30 halafu aende simba then aombe msamaha wamsamehe ili aendelee kucheza simba... Hata km kichwani kumejaa mavi badala ya ubongo lazima ikufikirishe.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Reactions: Tui
Yule mwanasheria wa yanga ananipa maswali mengi sana.
 
Reactions: Tui
Sasa huko benki wanajua kweli kama ni malipo ya Kagoma ama kibabage?

Yaani hoja ya kuandika kwenye "Pay in slip" kuwa malipo ni ya nini haifanyi kisheria kuwa kweli malipo hayo ni kwa ajili ya hicho ulichoandika kwenye ankara hiyo ya benki.
Una akili ndogo sana, hata demu ukimtumia hela una mwambia nmekutumia hela ya kusuka au nauli mbona vitu vingine ni simple
 
Kwa hiyo unapingana na alichokisema wakili na mwanasheria msomi wa Yanga?
wewe ndiye hukumsikilza vizuri na hukumwelewa au unataka tu kutengeza upungufu katika maelezo yake kwa makusudi tu. Kujadiliana na mchezaji hakukutegemea malipo kufanyika.
 
Ona huyu mbumbumbu
Hivi Huwa hamna aibu
Yaani unaandika kitu mpaka watu wanajua hili ni kilaza
Sio kosa lako bro wala sikushangai maana unaleta mahaba kwenye vitu vilivyo wazi kabisa yaani FIFA sio wajinga walioleta TMS yaan Transfer Management System kwaajili ya kuondoa hizo mnazoziita Double Signing kwahiyo Kagoma HAWEZI KUFUNGIWA maana ni mchezaji halali wa SIMBA.Ukweli ndo huo kama hutaki kunya boga hahahahahhaa ngara23
 
Ona huyu mbumbumbu
Hivi Huwa hamna aibu
Yaani unaandika kitu mpaka watu wanajua hili ni kilaza
nimeamini Mahaba yakizidi huondoa maarifa aisee
halafu Manara alisema kweli kuwa wenye akili kule ni wawili tu
 
Reactions: Tui
We kweli tutusa
Yani unashindwa kutofautisha registration na signing of contract
Yan Kwa akili yako mchezaji asaini team 6 af itakayowahi ndo imsajili then iwe sawa tu.
Mkataba ni makabaliano na ni hatua muhimu ya kufanya usajili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…