ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 9,091
- 21,087
Ona huyu mbumbumbuMchezaji hawezi kufungiwa kwa ishu ndogo kama hiyo ya kusaini mkataba kwa maana ili usajili wa mchezaji ukamilike kuna mambo mengi ya kukamilisha ambayo Yanga hawakukamilisha ndo maana hawakupeleka mkataba TFF waweze kukamilisha usajil huyu i wa Kagoma na ndio maana Fountain Gate walimalizana na Simba wakatoa na Release Letter na ndo maana Mchezaji akaidhinishwa kutumika Simba.
Hivi Huwa hamna aibu
Yaani unaandika kitu mpaka watu wanajua hili ni kilaza