Beatrice Kamugisha
JF-Expert Member
- May 18, 2019
- 762
- 6,984
Wewe ni faraaaKwa kuwa Taifa la Tajikstania kwa sasa linaongozwa na Mapaka lazima Tundu Lissu ashinde kwa kishindo 2025[emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 2231280
Ukweli mchungu.Samia hata akisimama na Simon Msuva Msuva atashinda kabla watu hawajatoka ibada ya kwanza
Mama Samia atashinda saa mbili asubuhi.Let assume tukawa na tume huru, Dola akabaki kulinda uchaguzi na tume ya uchaguzi ikabaki kusimamia uchaguzi . KWENYE ulingo WA siasa akasimama Mama Samia kama mgombea Urais na Mpango Makamu huku upinzani asimame Lisu kama mgombea Urais na Salimu Mwalimu Makamu wa RAIS; huo uchguzi unatabiri utaamuliwa kwa asilimia ngapi?
Je, utabebea ladha kama ulivyo mchuano Kati ya Odinga na Rutho Kenya Leo? Tunaweza kukubali tuwe na mpambano huru kama kinachoendelea Kenya? Kwamba hakuna mwekezaji anafungsha virago Kwa sababu ya uchaguzi? Kwamba wagombea wataruhusiwa kuwa na haki sawa zakunadi sera zao?
Nionavyo mm 2025 Bado mbali, sikuona uchaguzi ukifanyika, Tuombee sana TANZANIA yetu nzuri. AmenMama Samia atashinda saa mbili asubuhi.
Hana mvuto hata kidogoUkweli mchungu.
Endelea kuvuta shuka.Tundu lissu ni mwanaharakati
Rais Samia ni mwanasiasa, Kiongozi, Presindential Material.
Rais Samia 90%
Tundu lissu 8%
Wengine 2%
Aliyekwambia mbowe sio dikteta ni nani?Lissu ni bora aendelee na siasa zake za kiharakati tu, nafasi ya uraisi amuachie F.A.Mbowe. Watanzania hawapendi udikteta dikteta wanapenda mtu kama Mbowe ambaye unaweza kumshauri jambo na akashaurika.
Kama Tundu Lissu alimshindwa Magufuli atamuweza Samia? TL hana sifa ya kuwa kiongozi, abaki kwenye harakati. Ana mihemko sanaEndelea kuvuta shuka.
Labda kushinda njaaMama Samia atashinda saa mbili asubuhi.
Acheni upopoma, Samia anajua fika kwa uchaguzi huru na haki, ata 40% hapati, Lissu bila bango, bila msanii, bila coverage kwenye media, bado alimkimbiza vibaya Sana JPMLet assume tukawa na tume huru, Dola akabaki kulinda uchaguzi na tume ya uchaguzi ikabaki kusimamia uchaguzi . KWENYE ulingo WA siasa akasimama Mama Samia kama mgombea Urais na Mpango Makamu huku upinzani asimame Lisu kama mgombea Urais na Salimu Mwalimu Makamu wa RAIS; huo uchguzi unatabiri utaamuliwa kwa asilimia ngapi?
Je, utabebea ladha kama ulivyo mchuano Kati ya Odinga na Rutho Kenya Leo? Tunaweza kukubali tuwe na mpambano huru kama kinachoendelea Kenya? Kwamba hakuna mwekezaji anafungsha virago Kwa sababu ya uchaguzi? Kwamba wagombea wataruhusiwa kuwa na haki sawa zakunadi sera zao?
Mnajidanganya sana na Maspace yenuLabda kushinda njaa
Watashinda uchaguzi wa space chini ua usimamizi wa maria ferainiKama Tundu Lissu alimshindwa Magufuli atamuweza Samia? TL hana sifa ya kuwa kiongozi, abaki kwenye harakati. Ana mihemko sana
Sasa Lisu kweli nani atamchagua? Yaani kwa Sasa Bora Mbowe kuliko LisuLet assume tukawa na tume huru, Dola akabaki kulinda uchaguzi na tume ya uchaguzi ikabaki kusimamia uchaguzi . KWENYE ulingo WA siasa akasimama Mama Samia kama mgombea Urais na Mpango Makamu huku upinzani asimame Lisu kama mgombea Urais na Salimu Mwalimu Makamu wa RAIS; huo uchguzi unatabiri utaamuliwa kwa asilimia ngapi?
Je, utabebea ladha kama ulivyo mchuano Kati ya Odinga na Rutho Kenya Leo? Tunaweza kukubali tuwe na mpambano huru kama kinachoendelea Kenya? Kwamba hakuna mwekezaji anafungsha virago Kwa sababu ya uchaguzi? Kwamba wagombea wataruhusiwa kuwa na haki sawa zakunadi sera zao?
Yaani kwa sasa Bora Chadema wamsimamishe Mbowe ila yule msaliti na kuwadi wa wazungu amepoteza ushawishi.Mama Samia atashinda saa mbili asubuhi.