Mtizamo wako kuhusu Rais Samia ulingoni na Tundu Lissu uchaguzi 2025

Mtizamo wako kuhusu Rais Samia ulingoni na Tundu Lissu uchaguzi 2025

Sasa mikoa ya watu wajinga kama hiyo ambayo elimu yao ya juuni madrasa na baikoko unategemea nini
Akili za kibavicha bana. Ali mradi nawe una kitekno unaona umemaliza. Cheap borgus.
 
Let assume tukawa na tume huru, Dola akabaki kulinda uchaguzi na tume ya uchaguzi ikabaki kusimamia uchaguzi. KWENYE ulingo WA siasa akasimama Mama Samia kama mgombea Urais na Mpango Makamu huku upinzani asimame Lisu kama mgombea Urais na Salimu Mwalimu Makamu wa RAIS; huo uchguzi unatabiri utaamuliwa kwa asilimia ngapi?

Je, utabebea ladha kama ulivyo mchuano Kati ya Odinga na Rutho Kenya Leo? Tunaweza kukubali tuwe na mpambano huru kama kinachoendelea Kenya? Kwamba hakuna mwekezaji anafungsha virago Kwa sababu ya uchaguzi? Kwamba wagombea wataruhusiwa kuwa na haki sawa zakunadi sera zao?
Tundu lissu hafai,Bora aendelee huyohuyo bibi tozo kama hakuna mbadala wa tundu lissu
 
Back
Top Bottom