Mpinzire
JF-Expert Member
- Jan 18, 2013
- 7,503
- 13,463
Kwamba Samia angesimama na Magu, Samia angeshinda? ThubutuuuuuKama Tundu Lissu alimshindwa Magufuli atamuweza Samia? TL hana sifa ya kuwa kiongozi, abaki kwenye harakati. Ana mihemko sana
Sent using Jamii Forums mobile app