Abuu Kauthar
JF-Expert Member
- Jul 10, 2011
- 4,296
- 6,492
Kama Tundu Lissu alimshindwa Magufuli atamuweza Samia? TL hana sifa ya kuwa kiongozi, abaki kwenye harakati. Ana mihemko sana
Sio magufuli tu, tundu lissu alimshindwa Lazaro Nyarandu. Ule ugombea ilibidi ateuliwe tu kwa viti maalum maana mule ndan asingeweza kumsinda mtu yeyeto. Sasa kama kikundi kidogo tu kimemuangusha atamuweza samia?