Mtizamo wako kuhusu Rais Samia ulingoni na Tundu Lissu uchaguzi 2025

Kama Tundu Lissu alimshindwa Magufuli atamuweza Samia? TL hana sifa ya kuwa kiongozi, abaki kwenye harakati. Ana mihemko sana

Sio magufuli tu, tundu lissu alimshindwa Lazaro Nyarandu. Ule ugombea ilibidi ateuliwe tu kwa viti maalum maana mule ndan asingeweza kumsinda mtu yeyeto. Sasa kama kikundi kidogo tu kimemuangusha atamuweza samia?
 
Nchi ilipofikia samia umuweke na mwijaku,mapema.mno mwijaku anatangzwa kuwa rais mpya.
 
Lissu atashinda kwa 60% angalau.
 
Sio magufuli tu, tundu lissu alimshindwa Lazaro Nyarandu. Ule ugombea ilibidi ateuliwe tu kwa viti maalum maana mule ndan asingeweza kumsinda mtu yeyeto. Sasa kama kikundi kidogo tu kimemuangusha atamuweza samia?
๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€ nakubaliana na wewe kaka

Ktk siasa Tundu Lissu yuko overated sana.

Walitaka watanzania eti tumpigie kura za huruma.. hivi nchi iongozwe kwa kura za huruma like seriously?

Tundu Lissu ni mwanasheria mzuri (hili hatulikatai) lakini HANA SIFA YA KUWA KIONGOZI

NASHAURI ABAKI KTK HARAKATI NA TAALUMA YAKE YA SHERIA.

KUMLINGANISHA RAIS SAMIA NA TL ni kumvunjia heshima Rais wetu ambaye kimsingi ana sifa zote za kuwa kiongozi na amelelea ktk mazingira ya kuwa kiongozi na mwanasiasa
 
Hakuna CCM ya kushinda kwenye uchaguzi huru huo ni ukweli unaomuumiza kila mwanaccm. Hata hivyo sioni mwitikio wa wapiga kura tena kwani watu wamelipuuza rasmi box la kura.
 
Mimi mtazamo wangu ni kuwa bila Polisi na Tume ya ccm. Basi 2025 Raia Samia angeweza kuhamia Chadema.

Chance ya ccm kushinda uchaguzi wa aina yoyote i ndogo sana.

Washukuru Vyombo.
 
TL alimfanya mtu akawa trip shamba trip gereji.

Alipiga kampeni ya mtaa kwa mtaa hadi ndege zake zikanyimwa vibali๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
 
Watashinda uchaguzi wa space chini ua usimamizi wa maria feraini
Kwa usimamizi wa Mahera Samia atashinda lakini kwa Kura za wananchi hata Magufuli hakutoboa.

Muulize Mwigulu atakwambia ukweli
 
Kwa tulioona uchaguzi wa 2020 jinsi Magufuli alivyoogopa kushindwa tunaijua Hofu ya Rais Samia pia.
 
Mnajidanganya sana na Maspace yenu
Acha kujifanya huoni au hujui. Ccm hata udiwani wanapeleka polisi hadi jeshi. Kwenye uchaguzi huru hata Mwenyekiti wa mtaa hamshindi. Iko wazi na acha iwe hivyo
 
You can't be serious, Lissu yupo overrated? Uwezo wake akiwa bungeni Una mashaka yoyote?? Kama asingekua kiongozi je wanasheria wangemchagua awe Rais wao? Ikungi wangemchagua awe mbunge wao??

Rais Samia Hana ushawishi wa kisiasa let alone kupambanishwa na mtu kama Tundu Lissu. JPM na ubabe wote ule na umaarufu wake lakini kampeni za 2020 alipelekwa toe to toe na Lissu kiasi kwamba ikabidi tu waibe uchaguzi maana hata angeshinda ingekua 60-40 ambapo ingempunguzia legitimacy.

So Lissu sio wa kumlinganisha na huyo Mama yenu, in fact eneo kama Kanda ya ziwa na nyanda za juu kusini and kaskazini unadhani Samia anaweza kumzidi kura Lissu??? Get real
 
Kuna watu wanajifanya wajinga hadi wajinga wenyewe wanawakataa

Uwezo wa Lissu hauna mashaka yoyote.

His ability in leadership and intelligence is undisputed.


Wenye akili ndani ya ccm na system za vyombo wanalijua hilo.
 
Ila siasa zina tambo..eti kabla ya ibada ya sa mbili tutakuwa tumetangaza ushindi..dahh
 
Acha kujifanya huoni au hujui. Ccm hata udiwani wanapeleka polisi hadi jeshi. Kwenye uchaguzi huru hata Mwenyekiti wa mtaa hamshindi. Iko wazi na acha iwe hivyo
Rudi space kawaambie nyumbu
 
Acha kujifanya huoni au hujui. Ccm hata udiwani wanapeleka polisi hadi jeshi. Kwenye uchaguzi huru hata Mwenyekiti wa mtaa hamshindi. Iko wazi na acha iwe hivyo
Rudi space kawaambie nyumbu
 
Upinzani wakimsimamisha Lissu siendi kupiga kura(if at all my vote counts)
 
Uwezo wake ktk taaluma ya sheria na harakati hakuna mashaka

Ila ktk uongozi bado sana

Anakosa sifa zaidi ya 90% za uongozi
 
Wakati wewe mpiga zumari unamdharau Samia alimfata Ubelgiji๐Ÿ˜…
Rais Samia hakumfata lissu ubelgiji

TL aliandika barua nyingi kuomba aonane na Rais... muda haukupatikana

Mama Samia alivyokwenda kikazi ubelgiji akaona si vibaya kumsalimu kujua hali yake kwa sababu Rais Samia ni Kiongozi anayewajali watanzania wote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ