Mtizamo wako kuhusu Rais Samia ulingoni na Tundu Lissu uchaguzi 2025

Hahahaha wasiojua wakamuulize Mkurugenzi wa tume. Ule uchaguzi Jpm asingeshinda
 
Huo mjadala tuuache.
 
Watashindwa kwakula nyingi kama miaka yote wanavyoshindwaga,toka 1995 CCM hawajawai kushinda uchaguzi wa Rais Kwa maoni yangu
 
Acheni upopoma, Samia anajua fika kwa uchaguzi huru na haki, ata 40% hapati, Lissu bila bango, bila msanii, bila coverage kwenye media, bado alimkimbiza vibaya Sana JPM
Et ilisemekana Chopa ya lisu watabiri wa hali ya hewa walisema mawingu yameganda.
Nape kurusha chopa mawingu hayakuganda?
 
Lissu na mzee wa Chato wanafanana fanana. Taifa haliwezi kurudia makosa na katiba yetu hii tutarudi kule kule.
 
Lissu na mzee wa Chato wanafanana fanana. Taifa haliwezi kurudia makosa na katiba yetu hii tutarudi kule kule.
 
Lissu huyu huyu asiye na staha mwenye kutukana watu mitandaoni?
Tangu awaite wale akina mama 19 kuwa ni Covid-19, nikaona hapa hakuna kiongozi
 
Lisu aje ku bip halafu huyo mbio ubelgiji

Chadema kumuweka Lisu tena akili kichwani zitakuwa hazimo
 
MImi hapo nitawapiga chini wote!! Lisu keshakuwa bepari huyo atauza nchi yetu!! Vya bepari haviliwi bure!! Akiwa Rais lazima avilipe!! Na huyu mwingine hapana!! Labda akagombee Zenj!! Mimi ni Gwaji team!! (Japo siyo rahisi kumshawishi akagombea!)
 
Yaani Samia amshinde Lissu mikoa ya Kilimanjaro, Arusha, Mbeya,Mwanza, Kagera, Dar es Salaam, Iringa, Shinyanga,Geita, Simiu na Manyara never never
Atamshinda labda kwenye mikoa wanakula urojo. Hatokaa aamini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…