Mtoto aliyefariki mwaka 2017 adaiwa kufufuka

Naomba unieleweshe;
-alizikwa akiwa na miaka 11?
-na baada ya miaka 5 amefufuka.Je,muonekano(umri)ni uleule wa miaka 11 au amebadilika na kuwa wa miaka 16?
Akili yangu nyembamba imekwama kuelewa hapo.

Haya hayana maana, take the news
 
Utopolo mtupu, hakuna misukule wala bibi yake misukule.
 
Dogo elimu ya mzungu amekuharibu kichwa unakuaga na ubishi hadi una kera, hii ni habari ya kwanza kusikia kuhusu mtu kufariki mazishi yakafanyika baadae akaja kuonekana ?
Hizo ni habari za kutunga na zinasambaa kwa kasi sababu wengi wanapenda hadithi za uchawi. Hakuna mtu anaweza kufa kisha akafufuka, ni matangopori.
 
Pumzi isikudanganye hyo
Usikejeli sana mkuu

Unaweza ukafa au ukawa hai lakini kitandani
Mnanilinganisha mimi na Magufuli?Yaani mnalinganisha kifo changu mimi na kifo cha Magufuli?

Sasa mnanilinganisha mimi na mwizi wa kura?Mnalinganisha kifo changu mimi na kifo cha mwizi wa kura ambae alilinyima Taifa zima haki?!

Mnalinganisha kifo changu mimi na muuaji ambae alikuwa anaua watu na kuzipakia maiti za watu wasiokua na hatia kwenye viroba na kwenda kuzitupa baharini?

Mnaijua sayansi ya kulinganisha vitu?
 
Unaweza usife.
Ila ukalala emergency miaka na miaka
 
Naona lopolopo at tour best
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…