Mtoto aliyejeruhiwa na ndugu zake 6 kuuawa kikatili Mkoani Kigoma naye afariki

Mtoto aliyejeruhiwa na ndugu zake 6 kuuawa kikatili Mkoani Kigoma naye afariki

Hao madaktari akili za ovyo, mtoto mahututi anasafirije na gari toka Kigoma kwenda Dar? Mtu mzima anafika hoi sasa mahututi lazima afike marehemu.
imagine,nimeumia sana yaani mimi na afya yangu kukaa masaa saba kwenye garj niko hoi sembuse mginjwa tena masaa ya kutosha
 
Kwanini wasinge mpeleka Benjamin mkapa Dodoma then specialist kutoka Muhimbili wangemkuta hapo maana kama vifaa vipo
najiuliza sijui kuna wakati watu akili zinagota mahali yaani safari ya kigoma ni ndefu jamani
 
Mbona profesa J waligharqmikia matibabu? Wameshindwa nini kumlipia mtoto nauli yq ndg hata kama watu ni 10. Watu wanaenda kwny mikutano huko ulaya na watu hata 50 mbona husemi gharama?
sijamuelewa anatetea ujinga gani hapa
 
Nimeshangaa sana...jamani! Angekuwa kiongozi angepelekwa kwa ndege.[emoji2356]
Haha sio kiongozi tu..hata angekua mjukuu wa shangazi yake kiongozi bado angebebwa na ndege amini kwamba
 
Back
Top Bottom