Mtoto aliyejeruhiwa na ndugu zake 6 kuuawa kikatili Mkoani Kigoma naye afariki

Mtoto aliyejeruhiwa na ndugu zake 6 kuuawa kikatili Mkoani Kigoma naye afariki

Mbunge alikuwepo hata kwenye msiba.
Ukute kuna Mbunge huko , wala hakutoa neno kusaidia huyo mtoto aweze kusafiri kwa Ndege.

Kulingana na hali yake ilivyokuwa kutumia usafiri wa gari haikuwa busara.

Poleni sana wafiwa , wauaji wasakwe ili wafikishwe mbele ya sheria.
 
Imenisikitish zaidi hii habari tumeshindwa kunusuru angalau mtu mmoja serikali imetia aibu hapa mi ndio maana huwa Nalipendaga sana TAifa la Marekani halinaga Ujinga kama huu.
 
Tusipende kulauma bila kuwa na facts za kutosha waulize madaktari au wauguzi walikuwa nao why walitaka kwenda Dar es Salaam. Kwani hata hizo Hospitali ulizozitaja wakishindwa wanawapeleka wagonjwa wao Dar es Salaam pili inategemea mgonjwa alisumbuliwa na nini. Tafakari kabla ya kutiririka.
 
Nilivyosikia na kufahamu huyo mtoto alikua na jeraha kubwa sana kichwani, panga likingia sana kwenye kichwa, ilihitajika zaidi either Muhimbili na hasa MOI. Kosa kubwa walofanya viongozi wa Mkoa wangemsafirisha kwa helicopter.
 
Unajua gharama ya seats tatu kujumlisha accompanying medical personnel ni walau kiasi gani minimum?

Angalieni mambo kwa uhalisia wake, tusikalie tu kupiga soga hapa tuonekane tumeumia au kuchukizwa sana.
Kwa hiyo serikali isingeweza kutoa complimentary hizo seats 4 au 5 kutoka Kigoma kuja DAR?
Hapa tunalalamikia kwanini serikali haikumsafirisha mtoto kwa ndege halafu ww unakuja kutetea ujinga kwa kujifanya unajua sana kubana matumizi.
Kwani hiyo gari kutoka Kigoma hadi DAR ni almost 1400 Km one way X 2=2800KM let say kila lita ya Diesel ni 3360 Tsh na gari inatumia 10Km kwa 1 lita(2800KM =280lita X3360=? + per diem za dereva na nesi=?
Wangeshindwa kulipia ndege hata kama ATCL hawana complimentary tickets?
Tusihalalishe uzembe wakati kuna better option.
 
Unajua gharama ya seats tatu kujumlisha accompanying medical personnel ni walau kiasi gani minimum?

Angalieni mambo kwa uhalisia wake, tusikalie tu kupiga soga hapa tuonekane tumeumia au kuchukizwa sana.
Unalinganisha uhai wa mtu na gharama uko sawa kweli, angekuwa mwanao ungeandika hivi!!? Hebu tuambie ni tirioni ngapi hizo gharama

Una tatizo wewe
 
Hii serikali haijali wananchi wake,hili ndio jibu kuu katika hili,serikali isingeshindwa kumsafirisha kwa ndege huyu mtoto,ingekuwa mkuu wa Mkoa ndio yupo mahututi asingesafirishwa kwa gari.

Kuna muendelezo wa kutojali utu
 
Kigoma ipo karibu na Mwanza, Bugando kuliko DSM

Wakapita Benjamin Mkapa hospitali. Hospitali ambayo wanatibiwa viongozi wengi.

Wakaipita Dodoma General hospital.

Wakamsafirisha mgonjwa mahututi kwenye mabonde na vumbi kali kwa muda mrefu..[emoji26][emoji26]

Umuhimu uko wapi?

View attachment 2282241
Kuna fursa ya upigaji nchi hii kwenye kila tatizo.. Per diem hapo na marupurupu mengine ndio ilikuwa kipaumbele
 
1. Rufaa inatolewa kwa sababu huduma katika hospitali za "rufaa" za mikoa ni tia maji tia maji. Unaweza kuta sababau kubwa ya rufaa ni kwa ajili ya CT scan.
2. Umbali kutoka Kigoma to Mwanza (Bugando)ni kama km 450 na Kigoma - Dar ni 1400.
Bado hatuna vipa-umbele kama Taifa.
Ndio maana tunaweza kuchangia harusi badala ya kumchangia mtu ada ya chuo.
Au kuchangia kununua mchele kilo 100 msibani badala ya kuchangia kununua dawa wakati mgonjwa yuko hospitali.
 
Hao madaktari akili za ovyo, mtoto mahututi anasafirije na gari toka Kigoma kwenda Dar? Mtu mzima anafika hoi sasa mahututi lazima afike marehemu.
Kwani kazi ya Dakitari hapo nikumsafirisha mgonjwa au nikuwapa utaratibu na maelekezo ya wapi mgonjwa anatakiwa apelekwe?
 
Back
Top Bottom