Mtoto aliyejeruhiwa na ndugu zake 6 kuuawa kikatili Mkoani Kigoma naye afariki

Mtoto aliyejeruhiwa na ndugu zake 6 kuuawa kikatili Mkoani Kigoma naye afariki

Wangechukua siti tatu za pamoja na mtoto alazwe hapo.
Kama mabasi yanabeba wagonjwa mahututi kwa nini ndege ishindwe?
Unajua gharama ya seats tatu kujumlisha accompanying medical personnel ni walau kiasi gani minimum?

Angalieni mambo kwa uhalisia wake, tusikalie tu kupiga soga hapa tuonekane tumeumia au kuchukizwa sana.
 
Mbona profesa J waligharqmikia matibabu? Wameshindwa nini kumlipia mtoto nauli yq ndg hata kama watu ni 10. Watu wanaenda kwny mikutano huko ulaya na watu hata 50 mbona husemi gharama?
 
Mbona profesa J waligharqmikia matibabu? Wameshindwa nini kumlipia mtoto nauli yq ndg hata kama watu ni 10. Watu wanaenda kwny mikutano huko ulaya na watu hata 50 mbona husemi gharama?
Nchi watu,viongz wanafk
Msaada kutoa mpk mtu anayejulikana
Msaada wanatolea sifa,kik
Tu

Ova
 
Nimewahi sikia wamarekani huweza kurudisha tukio nyuma.Sasa wawaombe kufanya hivyo wajulikane hao waovu.
 
fuvu lilikuwa limekatwa na panga kwa kima Cha nch 5 Kama sikosei ,halafu NI mahututi ,mnampakia kwa ambulance from kigoma to dar,aise hapo lzm mfikishe marehemu sio mgonjwa .kwa nn wasiwavhukulie tiketi ya ndege !???? anyway ,all in all ,tumuachie Allah!!!, rest easy young boy
 
Umasikini umechukua maisha ya mtoto daah.

Hivi kweli unamtoa mgonjwa mahututi kutoka kigoma mpaka dar kwa gari? Na hizi barabara zetu kweli.

Aisee hiki kifo cha huyu dogo kimeniuma, imeonesha ni jinsi gani hatujari uhai wa watu, na mkuu wa wilaya ana taarifa kabisaa ya hali ya mtoto.
 
Uhai sio kipaumbele chetu nchi hii

Kipaumbele chao n kulipa Kodi

Km 1400 mtu mwenye afya zake akifika anakoenda kwa bas yupo amechoka je mgonjwa mahututi?

Watumishi wa umma wa eneo hilo wamemuua mtoto kwa ajil ya kubana matumizi
 
Mtu yuko Kigoma anasafirishwa kwa gari kuja Dar? Kwani gharama za mafuta ya gari kwenda na kurudi na wahudumu wote si zingefidiwa na tiketi ya ndege
Inasikitisha sidhani kama hata kwenye zama za mawe watu walikua wanasafiri umbali wote huo kufuata matibabu hasa ukizingatia mtu yuko mahututi
 
fuvu lilikuwa limekatwa na panga kwa kima Cha nch 5 Kama sikosei ,halafu NI mahututi ,mnampakia kwa ambulance from kigoma to dar,aise hapo lzm mfikishe marehemu sio mgonjwa .kwa nn wasiwavhukulie tiketi ya ndege !???? anyway ,all in all ,tumuachie Allah!!!, rest easy young boy

Waqti wake umefika kaka
 
Ndege zetu zinazoenda Kigoma (Bombardier) hazina stretcher, haziwezi kubeba mgonjwa asiyeweza kukaa na au anayehitaji uangalizi maalumu, labda wangekodi ndege binafsi which is way more expensive.
Air Ambulance service mbona ziko nyingi tu!kilicho hitajika hapa ni utashi na nani wa kubeba gharama mbona huko huko Kigoma mtalii mzungu akipata changamoto serious ya afya anaitiwa hizo? Unamtoa mgonjwa tena mtoto kutoka ICU na kumsafirisha kwa Ambulance ya kawaida 2dys trip to Dar jamani unategemea nini?
 
Inasikitisha sidhani kama hata kwenye zama za mawe watu walikua wanasafiri umbali wote huo kufuata matibabu hasa ukizingatia mtu yuko mahututi
Wakati Nape anakodishiwa helikopta kuzunguka nchi nzima "kuhamasisha" watu wafunge vibao vya majina mitaani. Huu upuuzi upo Banana republics pekee
 
Mbona profesa J waligharqmikia matibabu? Wameshindwa nini kumlipia mtoto nauli yq ndg hata kama watu ni 10. Watu wanaenda kwny mikutano huko ulaya na watu hata 50 mbona husemi gharama?
Hao ni viongozi waandamizi na ipo kisheria. Professor Jay ni kwasababu ya umaarufu wake and he caught government's attention.
 
Duuh nilisikitika sana kusikia hiyo taarifa binadamu tuna roho mbaya sana kwa kweli sikutaka hata kufatilia chanzo najua ntaendelea kuumia tuu...
 
Kigoma ipo karibu na Mwanza, Bugando kuliko DSM

Wakapita Benjamin Mkapa hospitali. Hospitali ambayo wanatibiwa viongozi wengi.

Wakaipita Dodoma General hospital.

Wakamsafirisha mgonjwa mahututi kwenye mabonde na vumbi kali kwa muda mrefu..[emoji26][emoji26]

Umuhimu uko wapi?

IMG_8022.jpg
 
Back
Top Bottom