Mtoto aliyejeruhiwa na ndugu zake 6 kuuawa kikatili Mkoani Kigoma naye afariki

Mtoto aliyejeruhiwa na ndugu zake 6 kuuawa kikatili Mkoani Kigoma naye afariki

Air Ambulance service mbona ziko nyingi tu!kilicho hitajika hapa ni utashi na nani wa kubeba gharama mbona huko huko Kigoma mtalii mzungu akipata changamoto serious ya afya anaitiwa hizo? Unamtoa mgonjwa tena mtoto kutoka ICU na kumsafirisha kwa Ambulance ya kawaida 2dys trip to Dar jamani unategemea nini?
Angekuwa msanii hapo
Au mtu fulani ungeona
Watu wanavyojitpkeza
Kuchangia kisifa

Ova
 
Wauguzi wamechangia kupoteza ushahidi Muhim kwa namna moja au nyingine.
 
Kwa hiyo serikali isingeweza kutoa complimentary hizo seats 4 au 5 kutoka Kigoma kuja DAR?
Hapa tunalalamikia kwanini serikali haikumsafirisha mtoto kwa ndege halafu ww unakuja kutetea ujinga kwa kujifanya unajua sana kubana matumizi.
Kwani hiyo gari kutoka Kigoma hadi DAR ni almost 1400 Km one way X 2=2800KM let say kila lita ya Diesel ni 3360 Tsh na gari inatumia 10Km kwa 1 lita(2800KM =280lita X3360=? + per diem za dereva na nesi=?
Wangeshindwa kulipia ndege hata kama ATCL hawana complimentary tickets?
Tusihalalishe uzembe wakati kuna better option.
Serikali inatoa wapi hela ya kuwa inasafirisha kila mgonjwa mahututi kwa ndege? au wagonjwa wengine mahututi siyo Watanzania?
 
Unalinganisha uhai wa mtu na gharama uko sawa kweli, angekuwa mwanao ungeandika hivi!!? Hebu tuambie ni tirioni ngapi hizo gharama

Una tatizo wewe
Shida mmejawa hisia kuliko uhalisia. Acheni unafiki.

Tangu lini serikali inatoa huduma za anga za usafiri kwa wagonjwa mahututi?

Get rational & realistic, pal. Siyo kila sehemu unaweka siasa na unafiki.
 
Serikali inatoa wapi hela ya kuwa inasafirisha kila mgonjwa mahututi kwa ndege? au wagonjwa wengine mahututi siyo Watanzania?
Kila mkoa/wilaya unakuwa na pesa ya emergency kwa matukio ambayo yana sura ya upekee.

Hujawahi kusikia kuna baadhi ya matukio serikali imegharamia matibabu ya mtu/watu au maziko kwa kununua majeneza pamoja na kusafirisha maiti?

Unadhani serikali inaendeshwa kama ghetto la masela?
Au ww ni denti iliyemaliza form six juzi kati hujui uendeshaji wa serikali?
 
Inauma sana familia Yao yote imeteketea, amebaki mtoto wa miezi mi4 tu, angepona huyo angalau angemsaidia mdogo wake kwenye muongozo, Yote Mungu anajua atamsaidia vipi kiumbe kilichobaki, japo akikua picha hiyo akija kusimuliwa haitamtoka kichwani mwake, na huwa wanakuja kuwa watoto wakatili Sanaa!
 
Kila mkoa/wilaya unakuwa na pesa ya emergency kwa matukio ambayo yana sura ya upekee.

Hujawahi kusikia kuna baadhi ya matukio serikali imegharamia matibabu ya mtu/watu au maziko kwa kununua majeneza pamoja na kusafirisha maiti?

Unadhani serikali inaendeshwa kama ghetto la masela?
Au ww ni denti iliyemaliza form six juzi kati hujui uendeshaji wa serikali?
Unakiri serikali huwa inawasaidia inapoweza, wakati huohuo unailalamikia haijamsaidia huyu mtoto; una akili timamu?
 
Unakiri serikali huwa inawasaidia inapoweza, wakati huohuo unailalamikia haijamsaidia huyu mtoto; una akili timamu?
Ww mwenye akili timamu tuambie kwanini mtoto aachwe afe wakati pesa za maafa zipo?
Ulikuwa hujui kitu unajaribu kurukia treni kwa mbele angalia utapata mimba ya uzeeni ufie leba.
Ww si ndio uliuliza serikali inapata wapi pesa ya kusafirisha mtoto kwa ndege?
 
Serikali inatoa wapi hela ya kuwa inasafirisha kila mgonjwa mahututi kwa ndege? au wagonjwa wengine mahututi siyo Watanzania?
We jamaa ni moja ya wapumbavu waliotukuka JF nimekutukana tusi kubwa sana shenzy type
 
Kila mkoa/wilaya unakuwa na pesa ya emergency kwa matukio ambayo yana sura ya upekee.

Hujawahi kusikia kuna baadhi ya matukio serikali imegharamia matibabu ya mtu/watu au maziko kwa kununua majeneza pamoja na kusafirisha maiti?

Unadhani serikali inaendeshwa kama ghetto la masela?
Au ww ni denti iliyemaliza form six juzi kati hujui uendeshaji wa serikali?
Huyu ni mpumbavu mwandamizi
 
Shida mmejawa hisia kuliko uhalisia. Acheni unafiki.

Tangu lini serikali inatoa huduma za anga za usafiri kwa wagonjwa mahututi?

Get rational & realistic, pal. Siyo kila sehemu unaweka siasa na unafiki.
Inawezekana hujui vitu au unajitoa ufahamu serikali huwa inasafirisha wagonjwa mpk nje ya nchi kwa wagonjwa wenye case zilizoshindikana hapa nchini sasa unafikiri huko huwa wanaenda kwa punda?

Wale wa ajali ya moto Morogoro walifikishwa vipi Muhimbili

Bado nasisitiza una tatizo wewe
 
mimi tatizo likitokea huwa naangalia chanzo. Tuseme ukweli Dada zetu na Mama zetu wengi walioolewa ni wachafu sana siku hizi. Wanaume wengi hawana raha tena na ndoa zao. wanawake kuchepuka imekuwa fashion na sifa.

Jamii iwafunde kinadada na kinamama watulie kwenye ndoa zao.
 
mimi tatizo likitokea huwa naangalia chanzo. Tuseme ukweli Dada zetu na Mama zetu wengi walioolewa ni wachafu sana siku hizi. Wanaume wengi hawana raha tena na ndoa zao kuchepuka imekuwa fashion.

Jamii iwafunde kinadada na kinamama watulie kwenye ndoa zao.
Huu ndo ukweli mkuu.Sijui kuna nn huko ndoani mpaka wawe hivi?
 
Huu ndo ukweli mkuu.Sijui kuna nn huko ndoani mpaka wawe hivi?
Kuna mabadiliko makubwa ya kitabia ya wanawake wa kisasa wanatafuta ndoa kwa nguvu akishaolewa tu tayari ataanza kuchepuka.
Jamii haizungumzii uchafu huu wa wanawake wa sasa na matukio ya namna hiyo kwa kiwango cha chini ni mengi mitaani ila hayaripotiwi
 
Umasikini umechukua maisha ya mtoto daah.

Hivi kweli unamtoa mgonjwa mahututi kutoka kigoma mpaka dar kwa gari? Na hizi barabara zetu kweli.

Aisee hiki kifo cha huyu dogo kimeniuma, imeonesha ni jinsi gani hatujari uhai wa watu, na mkuu wa wilaya ana taarifa kabisaa ya hali ya mtoto.
Halaf utakuta ki ambulance chenyewe hakina vifaa vyovyote ku deal na life threatening emergencies.
 
hii nchi ni ya hivyo yaani mgonjwa mahututi amepata rufaa anasafirishwa kwa gari safari ya masaa yote hayo huu ujinga utaisha lini?
 
Back
Top Bottom