scolastika
JF-Expert Member
- Jan 26, 2019
- 3,863
- 5,719
imagine,nimeumia sana yaani mimi na afya yangu kukaa masaa saba kwenye garj niko hoi sembuse mginjwa tena masaa ya kutoshaHao madaktari akili za ovyo, mtoto mahututi anasafirije na gari toka Kigoma kwenda Dar? Mtu mzima anafika hoi sasa mahututi lazima afike marehemu.
najiuliza sijui kuna wakati watu akili zinagota mahali yaani safari ya kigoma ni ndefu jamaniKwanini wasinge mpeleka Benjamin mkapa Dodoma then specialist kutoka Muhimbili wangemkuta hapo maana kama vifaa vipo
sijamuelewa anatetea ujinga gani hapaMbona profesa J waligharqmikia matibabu? Wameshindwa nini kumlipia mtoto nauli yq ndg hata kama watu ni 10. Watu wanaenda kwny mikutano huko ulaya na watu hata 50 mbona husemi gharama?
Ngoja Mungu atamuoneshaUnalinganisha uhai wa mtu na gharama uko sawa kweli, angekuwa mwanao ungeandika hivi!!? Hebu tuambie ni tirioni ngapi hizo gharama
Una tatizo wewe
Yani sijui anajisikia anavyotetea upuuzisijamuelewa anatetea ujinga gani hapa
Nimeshangaa sana...jamani! Angekuwa kiongozi angepelekwa kwa ndege.[emoji2356]Mtu yuko Kigoma anasafirishwa kwa gari kuja Dar? Kwani gharama za mafuta ya gari kwenda na kurudi na wahudumu wote si zingefidiwa na tiketi ya ndege
Haha sio kiongozi tu..hata angekua mjukuu wa shangazi yake kiongozi bado angebebwa na ndege amini kwambaNimeshangaa sana...jamani! Angekuwa kiongozi angepelekwa kwa ndege.[emoji2356]
Kabisa mkuu ila ndo tz yetu sasa!!Halaf utakuta ki ambulance chenyewe hakina vifaa vyovyote ku deal na life threatening emergencies.