The introvert
JF-Expert Member
- Sep 15, 2023
- 1,508
- 3,136
Dah ni masikitiko makubwa inauma sanahttps://www.facebook.com/
View: https://www.facebook.com/share/v/1JwoVJHVar/Mtoto aliyepigwa risasi Oktoba 29 Manzese atamani kurudi tena shule, mama awaangukia Watanzania.
Unaweza kuwasiliana na mama yake kupitia 0763747599 (Happyness Julius Melea).
Mama mzazi anasema kwa kipindi chote amekuwa akimuuguza binti yake mwenyewe, na hivi karibuni aliitikia wito wa kufika mbele ya Tume ya Jaji Lila baada ya Mwenyekiti wa Mtaa anaoishi kumtaka aende.
Source: The Chanzo
ndoto2020
Tlaatlaah
Lucas Mwashambwa ,😥hizi ndiyo furaha zenu?
Inatia hasira mpaka nashindwa hata kuongea mkuu 😥.Dah ni masikitiko makubwa inauma sana
CCM wanafurahia sana mateso hayahttps://www.facebook.com/
View: https://www.facebook.com/share/v/1JwoVJHVar/Mtoto aliyepigwa risasi Oktoba 29 Manzese atamani kurudi tena shule, mama awaangukia Watanzania.
Unaweza kuwasiliana na mama yake kupitia 0763747599 (Happyness Julius Melea).
Mama mzazi anasema kwa kipindi chote amekuwa akimuuguza binti yake mwenyewe, na hivi karibuni aliitikia wito wa kufika mbele ya Tume ya Jaji Lila baada ya Mwenyekiti wa Mtaa anaoishi kumtaka aende.
Source: The Chanzo
ndoto2020
Tlaatlaah
Lucas Mwashambwa ,😥hizi ndiyo furaha zenu?
huenda alimpigwa kwasababu alienda kupiga kura binti wa watu,https://www.facebook.com/
View: https://www.facebook.com/share/v/1JwoVJHVar/Mtoto aliyepigwa risasi Oktoba 29 Manzese atamani kurudi tena shule, mama awaangukia Watanzania.
Unaweza kuwasiliana na mama yake kupitia 0763747599 (Happyness Julius Melea).
Mama mzazi anasema kwa kipindi chote amekuwa akimuuguza binti yake mwenyewe, na hivi karibuni aliitikia wito wa kufika mbele ya Tume ya Jaji Lila baada ya Mwenyekiti wa Mtaa anaoishi kumtaka aende.
Source: The Chanzo
ndoto2020
Tlaatlaah
Lucas Mwashambwa ,😥hizi ndiyo furaha zenu?
Huyo binti hana miaka 18 alipiga kura kwenu?huenda magaidi yalimpiga kwasababu alienda kupiga kura binti wa watu,
maana,
magaidi walikua wanawakata vidole wananchi waliokua tayari wamepiga kura kwa kuwakagua vidole vilivyo kua na wino uliowekwa kidoleni kama alama ya baadaa ya kupiga, na magaidi hao walifanya hivyo nyumba kwa nyumba na ndipo wakafikia hatua ya kuua wazazi wa watoto hao ambao walienda kupiga kura, lakini pia walikataa kujiunga na ghasia zile za kigaidi.
Gentleman,
huyo binti wazazi wake walinusurika kweli na hila za magaidi wale?🐒
Halafu mkuu wengi wao walikua ndani tu wametulia masikini halafu msala ukamfuata mpaka ndani😭😭😭😭Inatia hasira mpaka nashindwa hata kuongea mkuu 😥.
waliua hadi watoto wa miaka miwili, sembuse 18?Huyo binti hana miaka 18 alipiga kura kwenu?
Alafu dar yote hakuna aliyekatwa vidole ila Polisi walianza kupiga risasi watu
Bunduki walizipata wapi hadi wakaanza kupiga watu risasi hao magaidi?magaidi waliua hadi watoto wa miaka miwili, sembuse 18?
halafu acha porojo,
Dar es salaam,
wapiga kura wengi zaidi walikatwa vidole na kuchomwa visu na magaidi, na badhi walipigwa marungu na kupasuliwa vichwa 🐒
Ingefaa watambuliwe na ambao hawakuwa kwenye vurugu walipwe fidia na wasaidiwe kadiri inavyowesekana na mamlaka.
Mtoto aliyepigwa risasi Oktoba 29 Manzese atamani kurudi tena shule, mama awaangukia Watanzania.
Unaweza kuwasiliana na mama yake kupitia 0763747599 (Happyness Julius Melea).
Mama mzazi anasema kwa kipindi chote amekuwa akimuuguza binti yake mwenyewe, na hivi karibuni aliitikia wito wa kufika mbele ya Tume ya Jaji Lila baada ya Mwenyekiti wa Mtaa anaoishi kumtaka aende.
Soma Pia:Mtoto wa miaka 13 aomba msaada wa matibabu kutokana na majeraha aliyopata kwa kupigwa risasi October 29
Source: The Chanzo
ndoto2020
Tlaatlaah
Lucas Mwashambwa ,😥hizi ndiyo furaha zenu?
Wewe kwanini walisahau kukupiga miti gentlemen?magaidi waliua hadi watoto wa miaka miwili, sembuse 18?
halafu acha porojo,
Dar es salaam,
wapiga kura wengi zaidi walikatwa vidole na kuchomwa visu na magaidi, na badhi walipigwa marungu na kupasuliwa vichwa 🐒
Miaka 13 alienda kupiga kura? Mkuu au akili yako umepeleka wapi?huenda magaidi yalimpiga kwasababu alienda kupiga kura binti wa watu,
maana,
magaidi walikua wanawakata vidole wananchi waliokua tayari wamepiga kura kwa kuwakagua vidole vilivyo kua na wino uliowekwa kidoleni kama alama ya baadaa ya kupiga, na magaidi hao walifanya hivyo nyumba kwa nyumba na ndipo wakafikia hatua ya kuua wazazi wa watoto hao ambao walienda kupiga kura, lakini pia walikataa kujiunga na ghasia zile za kigaidi.
Gentleman,
huyo binti wazazi wake walinusurika kweli na hila za magaidi wale?🐒
NI KOSA KUBWA SANA KURUHUSU MUSLIM BROTHER SHIT KUONGOZA NCHI.
Mtoto aliyepigwa risasi Oktoba 29 Manzese atamani kurudi tena shule, mama awaangukia Watanzania.
Unaweza kuwasiliana na mama yake kupitia 0763747599 (Happyness Julius Melea).
Mama mzazi anasema kwa kipindi chote amekuwa akimuuguza binti yake mwenyewe, na hivi karibuni aliitikia wito wa kufika mbele ya Tume ya Jaji Lila baada ya Mwenyekiti wa Mtaa anaoishi kumtaka aende.
Soma Pia:Mtoto wa miaka 13 aomba msaada wa matibabu kutokana na majeraha aliyopata kwa kupigwa risasi October 29
Source: The Chanzo
ndoto2020
Tlaatlaah
Lucas Mwashambwa ,😥hizi ndiyo furaha zenu?
So sad mkuu😢Halafu mkuu wengi wao walikua ndani tu wametulia masikini halafu msala ukamfuata mpaka ndani😭😭😭😭
Achaaaa😭😭😭😭😭😭😭 nimemtazama katika mazingira mengi sana hakuna sehemu haijanitoa machozi nimewaza tu hapo anawaza ndoto yake ya maisha huenda ikaishia hivyo ndiyo maana anatamani kujiendeleza dah inaumaaaaa, nimemtazama kama binti yangu mahangaiko aliyoyapata kipindi chote cha kuuguzwa,nimemuwazia sasa binti kama huyu ilikuaje itumike nguvu kubwa hivyo kumnyamazisha kipindi cha uchaguzi ana athari gani jamaniInatia hasira mpaka nashindwa hata kuongea mkuu 😥.