heartbeats
JF-Expert Member
- Feb 10, 2014
- 6,736
- 10,669
Kidaka tonge kimekuw kirefu kinampalia wanaita kimeo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu huyo atakuwa na kimeo hebu mpeleke akakatwe. Kuna mtoto wa jirani yangu alimaliza madawa yote hadi alipokatwa ndipo akapona. Muwahishe mtoto akakatwe asiteseke.Naombeni ushauri na msaada kuna mtoto anakohoa sana nimetumia dawa zote hospitalini lakini bado. Wakati wa usiku ndo vinazidi mpaka anashindwa kulala halafu kinakuwa kikohozi kinamletea kama kukabwa hivi mpaka kutapika (kwa kujigoa)
Hivi hospitali kwanini ni wagumu kumchunguza mgonjwa yaani kila nikienda nawaambia kabisa kwamba huyu dawa ametumia sana lakini bado kwahiyo angalieni namna nyingine ya kumtibu lakini wapi!
Swali la nyongeza hivi hii habari ya kinyama kwenye koo maarufu kama (kimea/kimeo) ipoje wataalamu wa tiba maana wengi wananishauri niende akakatwe hicho kitu lakini moyo wangu unakataa kabisa
Mkuu tunaomba mrejesho, Je ushauri upi ulioufanyia kazi na ukakupa matokeo chanya? Au tatz limefikia wapi?Naombeni ushauri na msaada kuna mtoto anakohoa sana nimetumia dawa zote hospitalini lakini bado. Wakati wa usiku ndo vinazidi mpaka anashindwa kulala halafu kinakuwa kikohozi kinamletea kama kukabwa hivi mpaka kutapika (kwa kujigoa)
Hivi hospitali kwanini ni wagumu kumchunguza mgonjwa yaani kila nikienda nawaambia kabisa kwamba huyu dawa ametumia sana lakini bado kwahiyo angalieni namna nyingine ya kumtibu lakini wapi!
Swali la nyongeza hivi hii habari ya kinyama kwenye koo maarufu kama (kimea/kimeo) ipoje wataalamu wa tiba maana wengi wananishauri niende akakatwe hicho kitu lakini moyo wangu unakataa kabisa
Minyoo hiyo.Naombeni ushauri na msaada kuna mtoto anakohoa sana nimetumia dawa zote hospitalini lakini bado. Wakati wa usiku ndo vinazidi mpaka anashindwa kulala halafu kinakuwa kikohozi kinamletea kama kukabwa hivi mpaka kutapika (kwa kujigoa)