Mtoto anakohoa sana na wakati wa usiku hadi anatapika

Asilimia kubwa hilo tatizo husababishwa na minyoo. Mtoto akilala usiku minyoo inapanda na kuirritate njia ya hewa. Ndiyo maana anakohoa hasa usiku akiwa amelala. Mchana akiwa wima kunakuwa hamna tatizo. Sababu nyingine inaweza kuwa allergy hasa mashuka au mablanketi anayolalia.
 
Mkuu huyo atakuwa na kimeo hebu mpeleke akakatwe. Kuna mtoto wa jirani yangu alimaliza madawa yote hadi alipokatwa ndipo akapona. Muwahishe mtoto akakatwe asiteseke.
 
Mkuu tunaomba mrejesho, Je ushauri upi ulioufanyia kazi na ukakupa matokeo chanya? Au tatz limefikia wapi?
 
Minyoo hiyo.
 
Naulizia maana kuna shida flani nimeanza kuiona kwa mwanangu wa pili.
 
Mkuu mrejesho wa mtoto vp ushauri gani ulisaidia toka hapa kwa jukwaa?
 
Wakat mwingine matatizo ya kukohoa Huwa ni kawaida sio kwa mtoto mpaka mtu mzima na kibaya ni kwamba hakuna dawa unayoweza kutumia mpaka pale Kikohozi kitakapoondoka chenyewe. Ila ili ujue kwamba hichi ni kikohozi Cha kawaida ama ugonjwa basi ni LAZIMA uonane na Daktari amchunguze mgonjwa.
 
Mtoto ana miezi 6 toka amezaliwa alizaliwa vizur tu ila alivofikisha miezi mitatu akaanza kukoroma awe ana mafua au hana mafua yeye anakoroma tuu ila haimzuii kunyonya wala kupumua, ametumia dawa lkn bado naombeni ushauri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…