Mtoto atolewa Shanga kwenye Mapafu bila upasuaji Muhimbili Hospitali

Tunaposema humu jukwaani kila siku kuwa serikali ya CCM chini ya uongozi shupavu,imara na madhubuti wa Rais Mama Samia Suluhu Hasssan mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita,nuru ya wanyonge na nyota ya matumaini kuwa amefanya uwekezaji mkubwa katika Secta ya Afya tutaanza kueleweka vyema kwa sasa.
Sisiemu wanahusikaje hapo? Mbona huku hamna umeme tokea asubuhi?
 
Hilo lipo sawa, lakini katika hili la shanga kwenye pafu, angalia sehemu au mahali ilipokuwa imekwama hiyo shanga na ujitafakarishe ingelitoka kivipi?
Zahanati wangeitoa na siyo hii nguvu kubwa inatumika kutangaza kutoa punje ya shanga moja, wametibu watu wa ngapi hapo hawatangazi yaani shanga ndiyo ugonjwa mkubwa sn wamefanikiwa mwaka huu?
 
Ndugu Zungu watanzania,

Tunaposema humu jukwaani kila siku kuwa serikali ya CCM chini ya uongozi shupavu,imara na madhubuti wa Rais Mama Samia Suluhu Hasssan mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita,nuru ya wanyonge na nyota ya matumaini kuwa amefanya uwekezaji mkubwa katika Secta ya Afya tutaanza kueleweka vyema kwa sasa.

Hii ni baada ya jopo la madaktari bingwa wa kitanzania kutoka hospitali ya Taifa ya Muhimbili kufanya jambo la kishujaa na kupongezwa kabisa la kumtoa shanga katika pafu aliyokuwa ameimeza mtoto wa miaka mitano mwezi mmoja uliopita. Ambapo mtoto huyo aliimeza shanga hiyo kwa bahati mbaya baada ya kupaliwa wakati akiichezea mdomoni.

Shanga hiyo imetolewa kihodari na kitaalamu sana na kwa teknolojia ya hali ya juu sana mpaka unaweza fikiri kuwa zoezi hilo limefanyika kule Washington DC marekani kumbe ni hapa hapa katika ardhi ya Rais Mama Samia kipenzi cha watanzania wote wenye akili Timamu na wanaojitambua.

Ambapo madaktari hao wameeleza kuwa kama kusingefanyika utaalamu huo na kwa teknolojia hiyo ya hali ya juu ambapo waliingiza kifaa chenye camera na chenye uwezo wa kuinasa shanga hiyo basi ingelazimika kumfanyia upasuaji mkubwa ambao ungepelekea mambo mengine kama vile kutoa pafu au sehemu ya pafu na hivyo kuleta pancha kwa mtoto.

Madaktari hao jasiri na wenye mioyo ya kizalendo na wito wa kazi na wenye kuipenda kwa dhati kazi yao wametoa Rai kwa jamii kuwachunga vyema watoto hasa wanapokuwa wanacheza wenyewe au wanachezea vitu ,ili wasipeleke mdomoni na kumeza kwa bahati mbaya vitu wanavyochezea.

Haya yanafanyika huku Rais Samia akiwa tayari amewekeza na kutiririsha zaidi ya Trilioni sita katika Secta ya afya kwa ajili ya kuboresha miundombinu ya hospitali pamoja na kununua vifaa tiba,kusomesha wataalumu kama vile madaktari bingwa,kununua madawa na mambo mengine mengi sana. Ingekuwa zamani huko ungeshangaa mtoto huyu anaombewa michango kupitia vyombo vya habari kwa ajili ya kupelekwa Apollo India Lakini kwa sasa ni kama Apollo imehamia Muhimbili kwa kuwa huduma zote za kibingwa zinapatikana hapa hapa nchini.ndio maana tunaona hata majirani zetu wanakimbilia Muhimbili na hospitali zingine zilizopo hapa nchini kupata matibabu .ambapo kwa mwaka jana zaidi ya mamia ya wagonjwa kutoka nje ya nchi walitibiwa hapa nchini .

Hongera sana madaktari wetu kwa kazi nzuri na ya kizalendo mnayoendelea kuifanya kuokoa maisha ya watanzania.chapeni kazi kwa moyo wenu wote na Mungu atawalipa kwa kazi yenu hiyo njema kabisa kwa watanzania. tunawapenda sana madaktari wetu na tunawaheshimuni sana. Mungu awe nanyi na awabariki sana.najuwa changamoto kama za kimaslahi huwa hazikosekani lakini muwe na subira na uvumilivu kwa kuwa Rais wenu na wetu Mh Dkt Mama Samia Suluhu Hasssan ni mama wa upendo na huruma na anatambua kazi kubwa mnayoendelea kuifanya katika kujenga Taifa la watu wenye afya njema na nguvu,na hivyo ataendelea kuwaboresheeni marupurupu na maslahi yenu kwa kadri hali ya uchumi inavyoruhusu.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627
Kumekucha
 
namba yako imetoka mkuu kuna nafasi za udc znatoka mwezi huu mwshonii
 
Uwe muungwana na mwenye moyo wa kupongeza.kwani wangapi wanashindwa kutekeleza majukumu yao licha ya kuwa ni kazi zao? Kwani wangeshindwa kumuokoa na kumtoa huyo mtoto hiyo shanga mpaka akapoteza maisha unafikiri ungewafanya nini watakapokwambia wamepambana lakini wameshindwa kuokoa maisha ya mtoto? Kwanini watanzania baadhi yenu mnakuwa na wivu sana mazuri yanapofanyika hapa nchini? Kwanini mnataka mazuri yawe kwa majirani pekee na siyo hapa? Vipi tukio hilo lingefanyika kenya? Si mngekuja na midomo yenu kutoa pongezi na kubeza wataalamu wetu?
Yeah! Watu hawaoni jema lililofanyika bali wanatanguliza kubeza, dharau na kejeli. Upo msemo kwa Wakristo unaosema “Nabii hakosi heshima isipokuwa katika nchi yake, kwa jamaa zake na nyumbani mwake.” .....Marko 6:4-13.
 
Mama ndiye amefanya uwekezaji mkubwa katika Secta ya Afya kwa kuwekeza mabilioni ya fedha .mfano ndani ya muda mfupi ametiririsha zaidi ya Trilioni sita katika Secta ya Afya pekee.
So hao wamama wajawazito wanaofia mahospitalini baada ya kukosa fedha za kulipia huduma tunadanganywa wakati mama analipia mabilioni ya fedha?
 
Zahanati wangeitoa na siyo hii nguvu kubwa inatumika kutangaza kutoa punje ya shanga moja, wametibu watu wa ngapi hapo hawatangazi yaani shanga ndiyo ugonjwa mkubwa sn wamefanikiwa mwaka huu?
Mkuu; Hapo ujue wazazi walishahangaika sana( huku na kule )kutetea mustakabali wa afya ya mtoto wao huyo mpaka wakafika hapo Hospitali (hiyo ujue ni referral case). Itaweza kuwa ni funzo kwa wengine watakaokutwa na madhila hayo ili wasikimbilie kule kwingine wakidhani ni nguvu za giza/Ushirikina.
 
Kwamba management yote pamoja na madaktari(Super Specialist wote) wamekaa wakaona huu ndiyo ugonjwa mkubwa kuliko yote? wangapi wamepona pale kwa magonjwa makubwa? mi nachoshangaa ni nguvu ya kutangaza kutoa shanga kama vile ni kitu cha ajabu sn.
 
Ni mwenyezi Mungu tu atusaidie ila michezo ya watoto ni ni ya hatari sana, aheri ile michezo ya zamani miaka ile ambayo vifaa vya michezo ni vya kiasili na rafiki kwa tofauti na sasa.
Wapongezwe na kutiwa moyo hao madaktari na wasaidizi wao na kote kunako tolewa huduma za matibabu na afya kwa ujumla wake, inaweza kuwa ni wajibu wao kama waajiriwa wa taasisi za afya lakini ukweli mwenyezi Mungu atawapa siha njema wao na vizazi vyao.
 
Ndugu Zungu watanzania,

Tunaposema humu jukwaani kila siku kuwa serikali ya CCM chini ya uongozi shupavu,imara na madhubuti wa Rais Mama Samia Suluhu Hasssan mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita,nuru ya wanyonge na nyota ya matumaini kuwa amefanya uwekezaji mkubwa katika Secta ya Afya tutaanza kueleweka vyema kwa sasa.

Hii ni baada ya jopo la madaktari bingwa wa kitanzania kutoka hospitali ya Taifa ya Muhimbili kufanya jambo la kishujaa na kupongezwa kabisa la kumtoa shanga katika pafu aliyokuwa ameimeza mtoto wa miaka mitano mwezi mmoja uliopita. Ambapo mtoto huyo aliimeza shanga hiyo kwa bahati mbaya baada ya kupaliwa wakati akiichezea mdomoni.

Shanga hiyo imetolewa kihodari na kitaalamu sana na kwa teknolojia ya hali ya juu sana mpaka unaweza fikiri kuwa zoezi hilo limefanyika kule Washington DC marekani kumbe ni hapa hapa katika ardhi ya Rais Mama Samia kipenzi cha watanzania wote wenye akili Timamu na wanaojitambua.

Ambapo madaktari hao wameeleza kuwa kama kusingefanyika utaalamu huo na kwa teknolojia hiyo ya hali ya juu ambapo waliingiza kifaa chenye camera na chenye uwezo wa kuinasa shanga hiyo basi ingelazimika kumfanyia upasuaji mkubwa ambao ungepelekea mambo mengine kama vile kutoa pafu au sehemu ya pafu na hivyo kuleta pancha kwa mtoto.

Madaktari hao jasiri na wenye mioyo ya kizalendo na wito wa kazi na wenye kuipenda kwa dhati kazi yao wametoa Rai kwa jamii kuwachunga vyema watoto hasa wanapokuwa wanacheza wenyewe au wanachezea vitu ,ili wasipeleke mdomoni na kumeza kwa bahati mbaya vitu wanavyochezea.

Haya yanafanyika huku Rais Samia akiwa tayari amewekeza na kutiririsha zaidi ya Trilioni sita katika Secta ya afya kwa ajili ya kuboresha miundombinu ya hospitali pamoja na kununua vifaa tiba,kusomesha wataalumu kama vile madaktari bingwa,kununua madawa na mambo mengine mengi sana. Ingekuwa zamani huko ungeshangaa mtoto huyu anaombewa michango kupitia vyombo vya habari kwa ajili ya kupelekwa Apollo India Lakini kwa sasa ni kama Apollo imehamia Muhimbili kwa kuwa huduma zote za kibingwa zinapatikana hapa hapa nchini.ndio maana tunaona hata majirani zetu wanakimbilia Muhimbili na hospitali zingine zilizopo hapa nchini kupata matibabu .ambapo kwa mwaka jana zaidi ya mamia ya wagonjwa kutoka nje ya nchi walitibiwa hapa nchini .

Hongera sana madaktari wetu kwa kazi nzuri na ya kizalendo mnayoendelea kuifanya kuokoa maisha ya watanzania.chapeni kazi kwa moyo wenu wote na Mungu atawalipa kwa kazi yenu hiyo njema kabisa kwa watanzania. tunawapenda sana madaktari wetu na tunawaheshimuni sana. Mungu awe nanyi na awabariki sana.najuwa changamoto kama za kimaslahi huwa hazikosekani lakini muwe na subira na uvumilivu kwa kuwa Rais wenu na wetu Mh Dkt Mama Samia Suluhu Hasssan ni mama wa upendo na huruma na anatambua kazi kubwa mnayoendelea kuifanya katika kujenga Taifa la watu wenye afya njema na nguvu,na hivyo ataendelea kuwaboresheeni marupurupu na maslahi yenu kwa kadri hali ya uchumi inavyoruhusu.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627
Umefafanua vizuri sana.
 
Kwamba management yote pamoja na madaktari(Super Specialist wote) wamekaa wakaona huu ndiyo ugonjwa mkubwa kuliko yote? wangapi wamepona pale kwa magonjwa makubwa? mi nachoshangaa ni nguvu ya kutangaza kutoa shanga kama vile ni kitu cha ajabu sn.
Kweli sio kitu kikubwa au cha ajabu sana ukilinganisha na magonjwa au matatizo mengine ya kiafya ambayo hao madaktari wabobezi wameyashughulikia na kuyadhibiti kwa mafanikio. Ninachohisi hapa ni kwamba huyo mtoto angeweza kupoteza maisha kwa tatizo hilo ambalo katika baadhi ya Familia hujitokeza mara nyingi ukizingatia hizi imani zetu za jadi.
Hiyo inaweza kuitwa ni sehemu ya Hamasa kwa Jamii.
Hapa, muda na nafasi haziruhusu mkuu; ningekupa uzoefu wangu kwa matukio kama hayo huku Umasaini ndani-ndani huku.
 
Unakera na gazeti zako uchwaraa, porojoo unapiga weyeee
Teuzi anakulaa Nchimbi, poleee wee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kweli sio kitu kikubwa au cha ajabu sana ukilinganisha na magonjwa au matatizo mengine ya kiafya ambayo hao madaktari wabobezi wameyashughulikia na kuyadhibiti kwa mafanikio. Ninachohisi hapa ni kwamba huyo mtoto angeweza kupoteza maisha kwa tatizo hilo ambalo katika baadhi ya Familia hujitokeza mara nyingi ukizingatia hizi imani zetu za jadi.
Hiyo inaweza kuitwa ni sehemu ya Hamasa kwa Jamii.
Hapa, muda na nafasi haziruhusu mkuu; ningekupa uzoefu wangu kwa matukio kama hayo huku Umasaini ndani-ndani huku.
Kwamba malaria yenyewe mtoto hawezi kupoteza maisha? taja kijijini cha umasaini ambacho hawapeleki watoto hosp? bahati nzuri Arusha, Manyara na Kilimanjaro nazifahamu vizuri sn
 
Back
Top Bottom