Mtoto atolewa Shanga kwenye Mapafu bila upasuaji Muhimbili Hospitali

Ndugu Zungu watanzania,

Tunaposema humu jukwaani kila siku kuwa serikali ya CCM chini ya uongozi shupavu,imara na madhubuti wa Rais Mama Samia Suluhu Hasssan mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita,nuru ya wanyonge na nyota ya matumaini kuwa amefanya uwekezaji mkubwa katika Secta ya Afya tutaanza kueleweka vyema kwa sasa.

Hii ni baada ya jopo la madaktari bingwa wa kitanzania kutoka hospitali ya Taifa ya Muhimbili kufanya jambo la kishujaa na kupongezwa kabisa la kumtoa shanga katika pafu aliyokuwa ameimeza mtoto wa miaka mitano mwezi mmoja uliopita. Ambapo mtoto huyo aliimeza shanga hiyo kwa bahati mbaya baada ya kupaliwa wakati akiichezea mdomoni.

Shanga hiyo imetolewa kihodari na kitaalamu sana na kwa teknolojia ya hali ya juu sana mpaka unaweza fikiri kuwa zoezi hilo limefanyika kule Washington DC marekani kumbe ni hapa hapa katika ardhi ya Rais Mama Samia kipenzi cha watanzania wote wenye akili Timamu na wanaojitambua.

Ambapo madaktari hao wameeleza kuwa kama kusingefanyika utaalamu huo na kwa teknolojia hiyo ya hali ya juu ambapo waliingiza kifaa chenye camera na chenye uwezo wa kuinasa shanga hiyo basi ingelazimika kumfanyia upasuaji mkubwa ambao ungepelekea mambo mengine kama vile kutoa pafu au sehemu ya pafu na hivyo kuleta pancha kwa mtoto.

Madaktari hao jasiri na wenye mioyo ya kizalendo na wito wa kazi na wenye kuipenda kwa dhati kazi yao wametoa Rai kwa jamii kuwachunga vyema watoto hasa wanapokuwa wanacheza wenyewe au wanachezea vitu ,ili wasipeleke mdomoni na kumeza kwa bahati mbaya vitu wanavyochezea.

Haya yanafanyika huku Rais Samia akiwa tayari amewekeza na kutiririsha zaidi ya Trilioni sita katika Secta ya afya kwa ajili ya kuboresha miundombinu ya hospitali pamoja na kununua vifaa tiba,kusomesha wataalumu kama vile madaktari bingwa,kununua madawa na mambo mengine mengi sana. Ingekuwa zamani huko ungeshangaa mtoto huyu anaombewa michango kupitia vyombo vya habari kwa ajili ya kupelekwa Apollo India Lakini kwa sasa ni kama Apollo imehamia Muhimbili kwa kuwa huduma zote za kibingwa zinapatikana hapa hapa nchini.ndio maana tunaona hata majirani zetu wanakimbilia Muhimbili na hospitali zingine zilizopo hapa nchini kupata matibabu .ambapo kwa mwaka jana zaidi ya mamia ya wagonjwa kutoka nje ya nchi walitibiwa hapa nchini .

Hongera sana madaktari wetu kwa kazi nzuri na ya kizalendo mnayoendelea kuifanya kuokoa maisha ya watanzania.chapeni kazi kwa moyo wenu wote na Mungu atawalipa kwa kazi yenu hiyo njema kabisa kwa watanzania. tunawapenda sana madaktari wetu na tunawaheshimuni sana. Mungu awe nanyi na awabariki sana.najuwa changamoto kama za kimaslahi huwa hazikosekani lakini muwe na subira na uvumilivu kwa kuwa Rais wenu na wetu Mh Dkt Mama Samia Suluhu Hasssan ni mama wa upendo na huruma na anatambua kazi kubwa mnayoendelea kuifanya katika kujenga Taifa la watu wenye afya njema na nguvu,na hivyo ataendelea kuwaboresheeni marupurupu na maslahi yenu kwa kadri hali ya uchumi inavyoruhusu.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627
Usitumie uzi wa watu kujipendekeza kwa watawala...Wewe andika zile nyuzi zako za kusifia..
 
Mama ndiye amefanya uwekezaji mkubwa katika Secta ya Afya kwa kuwekeza mabilioni ya fedha .mfano ndani ya muda mfupi ametiririsha zaidi ya Trilioni sita katika Secta ya Afya pekee.
Mama yako yako yuko bush huko anaishi kama msukule umebaki kusifia mama wa watu.
Angalia utaolewa na wenye mama zao.
Si unapenda kuunganishwa kwenye familia za watu??.?
 
Ndugu Zungu watanzania,

Tunaposema humu jukwaani kila siku kuwa serikali ya CCM chini ya uongozi shupavu,imara na madhubuti wa Rais Mama Samia Suluhu Hasssan mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita,nuru ya wanyonge na nyota ya matumaini kuwa amefanya uwekezaji mkubwa katika Secta ya Afya tutaanza kueleweka vyema kwa sasa.

Hii ni baada ya jopo la madaktari bingwa wa kitanzania kutoka hospitali ya Taifa ya Muhimbili kufanya jambo la kishujaa na kupongezwa kabisa la kumtoa shanga katika pafu aliyokuwa ameimeza mtoto wa miaka mitano mwezi mmoja uliopita. Ambapo mtoto huyo aliimeza shanga hiyo kwa bahati mbaya baada ya kupaliwa wakati akiichezea mdomoni.

Shanga hiyo imetolewa kihodari na kitaalamu sana na kwa teknolojia ya hali ya juu sana mpaka unaweza fikiri kuwa zoezi hilo limefanyika kule Washington DC marekani kumbe ni hapa hapa katika ardhi ya Rais Mama Samia kipenzi cha watanzania wote wenye akili Timamu na wanaojitambua.

Ambapo madaktari hao wameeleza kuwa kama kusingefanyika utaalamu huo na kwa teknolojia hiyo ya hali ya juu ambapo waliingiza kifaa chenye camera na chenye uwezo wa kuinasa shanga hiyo basi ingelazimika kumfanyia upasuaji mkubwa ambao ungepelekea mambo mengine kama vile kutoa pafu au sehemu ya pafu na hivyo kuleta pancha kwa mtoto.

Madaktari hao jasiri na wenye mioyo ya kizalendo na wito wa kazi na wenye kuipenda kwa dhati kazi yao wametoa Rai kwa jamii kuwachunga vyema watoto hasa wanapokuwa wanacheza wenyewe au wanachezea vitu ,ili wasipeleke mdomoni na kumeza kwa bahati mbaya vitu wanavyochezea.

Haya yanafanyika huku Rais Samia akiwa tayari amewekeza na kutiririsha zaidi ya Trilioni sita katika Secta ya afya kwa ajili ya kuboresha miundombinu ya hospitali pamoja na kununua vifaa tiba,kusomesha wataalumu kama vile madaktari bingwa,kununua madawa na mambo mengine mengi sana. Ingekuwa zamani huko ungeshangaa mtoto huyu anaombewa michango kupitia vyombo vya habari kwa ajili ya kupelekwa Apollo India Lakini kwa sasa ni kama Apollo imehamia Muhimbili kwa kuwa huduma zote za kibingwa zinapatikana hapa hapa nchini.ndio maana tunaona hata majirani zetu wanakimbilia Muhimbili na hospitali zingine zilizopo hapa nchini kupata matibabu .ambapo kwa mwaka jana zaidi ya mamia ya wagonjwa kutoka nje ya nchi walitibiwa hapa nchini .

Hongera sana madaktari wetu kwa kazi nzuri na ya kizalendo mnayoendelea kuifanya kuokoa maisha ya watanzania.chapeni kazi kwa moyo wenu wote na Mungu atawalipa kwa kazi yenu hiyo njema kabisa kwa watanzania. tunawapenda sana madaktari wetu na tunawaheshimuni sana. Mungu awe nanyi na awabariki sana.najuwa changamoto kama za kimaslahi huwa hazikosekani lakini muwe na subira na uvumilivu kwa kuwa Rais wenu na wetu Mh Dkt Mama Samia Suluhu Hasssan ni mama wa upendo na huruma na anatambua kazi kubwa mnayoendelea kuifanya katika kujenga Taifa la watu wenye afya njema na nguvu,na hivyo ataendelea kuwaboresheeni marupurupu na maslahi yenu kwa kadri hali ya uchumi inavyoruhusu.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627
Inabidi uwekwe kwenye Guinness world records kama Chawa bora duniani....[emoji23][emoji23]

The Greatest Chawa of All time
Lucas mwashambwa from Tanzania.
 
Aliye kuroga alikufa kama angekuwa hai angekuonea huruma
 
Kwamba malaria yenyewe mtoto hawezi kupoteza maisha? taja kijijini cha umasaini ambacho hawapeleki watoto hosp? bahati nzuri Arusha, Manyara na Kilimanjaro nazifahamu vizuri sn
Uko vizuri mkuu, lakini ujue huku kwetu mtoto hata mtu mzima/adult hupelekwa hospitali baada ya dawa zetu za jadi kushindwa. Tunachinja kondoo na kumnywesha mgonjwa supu yenye mchanganyiko wa madawa ya kienyeji e.g. Oloisuki, Lodwaa, Ormokutan' na sokonoi. Sasa ujue itachukua muda hadi mzazi akubali kwamba imeshindikana ndipo aende hospitali. Kwa mfano kijijini kwetu hapa Olkitikiti au Olengapapa au Engong'oengare hadi ufike hospitali yenye uwezo kama huo ipo Wilayani sio chini ya km.71. Je, unadhani ni jambo rahisi kumpeleka mgonjwa hospitali kama ilivyo hapo kwenu Dsm?
BTW: Manyara umeishi au kutembelea Wilaya ipi mkuu? Unakaribishwa sana kijijini Lesoit kitongoji cha Orbigit jirani na shule ya Sekondari ( ya Bweni)Lesoit.
 
Uko vizuri mkuu, lakini ujue huku kwetu mtoto hata mtu mzima/adult hupelekwa hospitali baada ya dawa zetu za jadi kushindwa. Tunachinja kondoo na kumnywesha mgonjwa supu yenye mchanganyiko wa madawa ya kienyeji e.g. Oloisuki, Lodwaa, Ormokutan' na sokonoi. Sasa ujue itachukua muda hadi mzazi akubali kwamba imeshindikana ndipo aende hospitali. Kwa mfano kijijini kwetu hapa Olkitikiti au Olengapapa au Engong'oengare hadi ufike hospitali yenye uwezo kama huo ipo Wilayani sio chini ya km.71. Je, unadhani ni jambo rahisi kumpeleka mgonjwa hospitali kama ilivyo hapo kwenu Dsm?
BTW: Manyara umeishi au kutembelea Wilaya ipi mkuu? Karibu sana kijijini Lesoit kitongoji cha Orbigit jirani na shule ya Sekondari ( ya Bweni)Lesoit.
Karibu na Magadini Msitu wa tembo? Mkoa mzima wa Manyara nimefika vijiji vyote
 
Hapana. Sidhani kama ni kweli umewahi kufika vijiji vyote Mkoani Manyara. Eneo ulilotaja lipo Wilaya ya Simanjiro. Hapa ninaposemea ni Wilaya ya Kiteto Ambapo makao makuu ya Wilaya (Bomani) panaitwa Kibaya. Vijiji nilivyotaja hapo vipo Kata ya Lengatei, Tarafa ya Sunya na ni zaidi ya Km 71 kutoka Kibaya mjini.
 
Hata Simajanjiro karibu na nyumba ya Mungu kuna kitongoji kinaitwa hivyo, Kibaya napajua vizuri sn, Kuanzia Makame Ndedo, Kibaya, Matui, Engusero, Sunya kuna kituo cha Afya unapitia ile njia inaenda Kilindi mkuu mpaka Dosidosi
 
Very good. Sasa utoke Olkitikiti hadi Kijungu ni km 22 kwa kutumia Bodaboda then Kijungu - Kibaya kwa gari(basi) ni exactly 71 Km utaona jumla ni Km 93.
 
Mwashambwa simpatii picha anavyotumbuaga macho Kila akisikia mkeka mpya akifika mwisho anaanza upya mwishowe anajipiga ngumi kifuani kwamba IPO siku
 
Ndugu Zungu watanzania,

Tunaposema humu jukwaani kila siku kuwa serikali ya CCM chini ya uongozi shupavu,imara na madhubuti wa Rais Mama Samia Suluhu Hasssan mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita,nuru ya wanyonge na nyota ya matumaini kuwa amefanya uwekezaji mkubwa katika Secta ya Afya tutaanza kueleweka vyema kwa sasa.

Hii ni baada ya jopo la madaktari bingwa wa kitanzania kutoka hospitali ya Taifa ya Muhimbili kufanya jambo la kishujaa na kupongezwa kabisa la kumtoa shanga katika pafu aliyokuwa ameimeza mtoto wa miaka mitano mwezi mmoja uliopita. Ambapo mtoto huyo aliimeza shanga hiyo kwa bahati mbaya baada ya kupaliwa wakati akiichezea mdomoni.

Shanga hiyo imetolewa kihodari na kitaalamu sana na kwa teknolojia ya hali ya juu sana mpaka unaweza fikiri kuwa zoezi hilo limefanyika kule Washington DC marekani kumbe ni hapa hapa katika ardhi ya Rais Mama Samia kipenzi cha watanzania wote wenye akili Timamu na wanaojitambua.

Ambapo madaktari hao wameeleza kuwa kama kusingefanyika utaalamu huo na kwa teknolojia hiyo ya hali ya juu ambapo waliingiza kifaa chenye camera na chenye uwezo wa kuinasa shanga hiyo basi ingelazimika kumfanyia upasuaji mkubwa ambao ungepelekea mambo mengine kama vile kutoa pafu au sehemu ya pafu na hivyo kuleta pancha kwa mtoto.

Madaktari hao jasiri na wenye mioyo ya kizalendo na wito wa kazi na wenye kuipenda kwa dhati kazi yao wametoa Rai kwa jamii kuwachunga vyema watoto hasa wanapokuwa wanacheza wenyewe au wanachezea vitu ,ili wasipeleke mdomoni na kumeza kwa bahati mbaya vitu wanavyochezea.

Haya yanafanyika huku Rais Samia akiwa tayari amewekeza na kutiririsha zaidi ya Trilioni sita katika Secta ya afya kwa ajili ya kuboresha miundombinu ya hospitali pamoja na kununua vifaa tiba,kusomesha wataalumu kama vile madaktari bingwa,kununua madawa na mambo mengine mengi sana. Ingekuwa zamani huko ungeshangaa mtoto huyu anaombewa michango kupitia vyombo vya habari kwa ajili ya kupelekwa Apollo India Lakini kwa sasa ni kama Apollo imehamia Muhimbili kwa kuwa huduma zote za kibingwa zinapatikana hapa hapa nchini.ndio maana tunaona hata majirani zetu wanakimbilia Muhimbili na hospitali zingine zilizopo hapa nchini kupata matibabu .ambapo kwa mwaka jana zaidi ya mamia ya wagonjwa kutoka nje ya nchi walitibiwa hapa nchini .

Hongera sana madaktari wetu kwa kazi nzuri na ya kizalendo mnayoendelea kuifanya kuokoa maisha ya watanzania.chapeni kazi kwa moyo wenu wote na Mungu atawalipa kwa kazi yenu hiyo njema kabisa kwa watanzania. tunawapenda sana madaktari wetu na tunawaheshimuni sana. Mungu awe nanyi na awabariki sana.najuwa changamoto kama za kimaslahi huwa hazikosekani lakini muwe na subira na uvumilivu kwa kuwa Rais wenu na wetu Mh Dkt Mama Samia Suluhu Hasssan ni mama wa upendo na huruma na anatambua kazi kubwa mnayoendelea kuifanya katika kujenga Taifa la watu wenye afya njema na nguvu,na hivyo ataendelea kuwaboresheeni marupurupu na maslahi yenu kwa kadri hali ya uchumi inavyoruhusu.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627
Imethibitishwa kiasi cha Tsh.7000 kimewekwa katika akaunti namba 07******27
 
Back
Top Bottom