Mtoto chini ya miaka 10 kumkatisha usingizi kisa masomo uchwara; Saa 11 Alfajiri?

Nakumbuka babu yangu alikua haturuhusu kuangalia tv zaidi ya saa 3. Ikifika saa 3 usiku wanafunzi wote kulala.

Ila siku hizi madogo eti wanaangalia katuni na tamthilia hadi saa 5 au 6 usiku, asubuhi saa 11 aamke aandaliwe kwenda kupanda school bus.

Wazazi wanafanya watoro wasiishi utoto wao, mzazi anashirikiana na mtoto wake under 10 yrs kuangalia tamthilia za mapenzi hadi saa 5 usiku, mtoto anaanza kua addicted na matamthilia hayo, yanamtesa maana yeye ni mtoto ni ngumu kucontrol hisia zake.
 

Hatari sana.
Alafu hayo matamtihilia yanaamjengea mtoto ulimwengu wa uongouongo katika akili yake
 
Acha makasiriko kisa unaona magari ya shule yakipita mtaani kuchukuwa watoto wa wenzako huku wako akichabanga kwenda shule!
 
Hii ni point.
 
Mi ningemzuia, shule asomayo dogo, yeye anakuja na daftari la homework tu, mengine wanaacha shule
Hata mimi anakuja na diary na daftari la homework mengine waanacha shule
 

Yaani ni ujinga wa kiwango cha juu sana
 
Hatari sana.
Alafu hayo matamtihilia yanaamjengea mtoto ulimwengu wa uongouongo katika akili yake
Na tamthilia nyingi mno hivi sasa ni za mapenzi.
Mtoto wa miaka 11 keshaanza kuota matati na kupata hisia, hizo tamthilia zinamuathiri mno.

Akitokea mpuuzi mmoja akabahatisha kumfanyia kile alichokiona kwenye tamthilia baaasi kwisha habari yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…