Mtoto haambiliki kuhusu kombi ya HGK, nini future ya hii kombi?!!!

Dr wa Manesi

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2024
Posts
6,479
Reaction score
4,974
Wazazi wakali wanataka asome CBG, wakiwa na malengo wampeleke pharmacy baadae Kisha wamfungulie duka la dawa ajitegemee (kwakuwa ajira ni changamoto). Uwezo wa mtoto huko upo kwenye Geography tu (ni A au B tu Kila mtihani au jaribio). Chemistry na biology haizidi C.

Dogo ana amani zaidi kwenye HGK, huko BBB, BAB, BAA ni kawaida tu. Tatizo lake hajui chochote kuhusu future ya hiyo kombi......Mimi pia si mzuri katika hiyo.

Wadau, katika Karne hii, HGK inampeleka wapi mtoto?!!!!!!
 
chuon ataishia kwenda kusoma course za arts na business
sio mbaya muhim mwenyew kataka kusom iyo kozi so muachen tu
 
Wazazi wakali wanataka asome CBG, wakiwa na malengo wampeleke pharmacy baadae Kisha wamfungulie duka la dawa ajitegemee (kwakuwa ajira ni changamoto). Uwezo wa mtoto huko upo kwenye Geography tu (ni A au B tu Kila mtihani au jaribio). Chemistry na biology haizidi C.

Dogo ana amani zaidi kwenye HGK, huko BBB, BAB, BAA ni kawaida tu. Tatizo lake hajui chochote kuhusu future ya hiyo kombi......Mimi pia si mzuri katika hiyo.

Wadau, katika Karne hii, HGK inampeleka wapi mtoto?!!!!!!
Fatilia vigezo vya Pharmacy, hiyo CBG hawezi kusoma pharmacy,
 
✓Julius Nyerere alisoma Arts akawa Mwalimu kabla hajaja kutuongoza kwa miaka 24

✓Ali Hassan Mwinyi, alikuwa Mwalimu wa Arts kabla hajaja kutuongoza kwa miaka 10

✓Benjamin Mkapa - alikuwa mwandishi wa habari (kama sijakosea) akisomea Arts kabla hajatuongoza kwa miaka 10 ya kuwa Rais wa Nchi

✓Jakaya Kikwete, alisoma Uchumi (Arts) kabla hajatuongoza kwa miaka 10

✓John Pombe Magufuli, alikuwa Mwalimu wa Kemia (Sayansi) kabla hajatuongoza kwa miaka 6 ya Rais wa Nchi

✓Samia Suluhu Hassan, alisomea Arts (Masuala ya Usekretari, Utawala) kabala hajakaa Magogoni miaka 6 sasa ya Rais wa Nchi

Sisi tumesoma Sayansi lakini tumeishia kuwa washika mikoba na waimba mapambio ya hao wa juu 🙌

Mwache asome anachopenda yeye, lakini usiache kumpa ushauri kuhusu uelekeo wa Dunia
 
Kama mnataka mumfungulie pharmacy, ni bora aende aka some diploma ya pharmacy inaitwa (pharmaceutical technician). Lakini kwa combination ya CBG, hawezi kwenda kusoma degree ya pharmacy na pengine mkimpeleka PCB/PCM asitoboe (kwa mujibu wa maelezo yako) .
Ila Kama anapenda arts, sio pambaya pengine anaweza akajiingiza kwenye siasa akawa kiongozi mkubwa baadae, who knows!
 
Wazazi wakali wanataka asome CBG, wakiwa na malengo wampeleke pharmacy baadae Kisha wamfungulie duka la dawa ajitegemee (kwakuwa ajira ni changamoto). Uwezo wa mtoto huko upo kwenye Geography tu (ni A au B tu Kila mtihani au jaribio). Chemistry na biology haizidi C.

Dogo ana amani zaidi kwenye HGK, huko BBB, BAB, BAA ni kawaida tu. Tatizo lake hajui chochote kuhusu future ya hiyo kombi......Mimi pia si mzuri katika hiyo.

Wadau, katika Karne hii, HGK inampeleka wapi mtoto?!!!!!!
mtoto ana ndoto ya kua mtaalamu wa lugha, sheria, utawala, muandishi habari, michezo, mambo ya kale n.k ubaya uko wapi hapo gentleman?

au wazazi wake wamepotoshwa nini kuhusu tahasusi HGK? :NoGodNo:
 
Sisi zetu DUA tu, tunamtakia mema katika safari ya MASOMO yake!
 
Wazazi wakali wanataka asome CBG, wakiwa na malengo wampeleke pharmacy baadae Kisha wamfungulie duka la dawa ajitegemee (kwakuwa ajira ni changamoto). Uwezo wa mtoto huko upo kwenye Geography tu (ni A au B tu Kila mtihani au jaribio). Chemistry na biology haizidi C.

Dogo ana amani zaidi kwenye HGK, huko BBB, BAB, BAA ni kawaida tu. Tatizo lake hajui chochote kuhusu future ya hiyo kombi......Mimi pia si mzuri katika hiyo.

Wadau, katika Karne hii, HGK inampeleka wapi mtoto?!!!!!!
Hawezi kusoma pharmacy kwa CBG , pharmacy kwa siku hizi lazima awe na physics advance
 
Mbona hata akienfa huko CBG hawezi kutoboa kabisa, labda Aende chuo Dip akapige Pharmaceutical Sciences, akimaliza wamfungulie hiyo Pharmacy.
 
mtoto ana ndoto ya kua mtaalamu wa lugha, sheria, utawala, muandishi habari, michezo, mambo ya kale n.k ubaya uko wapi hapo gentleman?

au wazazi wake wamepotoshwa nini kuhusu tahasusi HGK? :NoGodNo:
Leo ndio siku ulioongea point wewe 🤡,....
Kumbe nzi akiacha ujinga anaweza kutengeneza asali.
 
Jamani mi nitoeni upofu hivi mtu akimaliza form six na aliyeenda certificate kisha diploma labda ya law hapo wote si wanakuwa na diploma Ila huyu wa six anakuwa na diploma ya nini
 
Back
Top Bottom