Dr wa Manesi
JF-Expert Member
- Aug 19, 2024
- 6,479
- 4,974
Fatilia vigezo vya Pharmacy, hiyo CBG hawezi kusoma pharmacy,Wazazi wakali wanataka asome CBG, wakiwa na malengo wampeleke pharmacy baadae Kisha wamfungulie duka la dawa ajitegemee (kwakuwa ajira ni changamoto). Uwezo wa mtoto huko upo kwenye Geography tu (ni A au B tu Kila mtihani au jaribio). Chemistry na biology haizidi C.
Dogo ana amani zaidi kwenye HGK, huko BBB, BAB, BAA ni kawaida tu. Tatizo lake hajui chochote kuhusu future ya hiyo kombi......Mimi pia si mzuri katika hiyo.
Wadau, katika Karne hii, HGK inampeleka wapi mtoto?!!!!!!
mtoto ana ndoto ya kua mtaalamu wa lugha, sheria, utawala, muandishi habari, michezo, mambo ya kale n.k ubaya uko wapi hapo gentleman?Wazazi wakali wanataka asome CBG, wakiwa na malengo wampeleke pharmacy baadae Kisha wamfungulie duka la dawa ajitegemee (kwakuwa ajira ni changamoto). Uwezo wa mtoto huko upo kwenye Geography tu (ni A au B tu Kila mtihani au jaribio). Chemistry na biology haizidi C.
Dogo ana amani zaidi kwenye HGK, huko BBB, BAB, BAA ni kawaida tu. Tatizo lake hajui chochote kuhusu future ya hiyo kombi......Mimi pia si mzuri katika hiyo.
Wadau, katika Karne hii, HGK inampeleka wapi mtoto?!!!!!!
Sisi zetu DUA tu, tunamtakia mema katika safari ya MASOMO yake!Wazazi wakali wanataka asome CBG, wakiwa na malengo wampeleke pharmacy baadae Kisha wamfungulie duka la dawa ajitegemee (kwakuwa ajira ni changamoto). Uwezo wa mtoto huko upo kwenye Geography tu (ni A au B tu Kila mtihani au jaribio). Chemistry na biology haizidi C.
Dogo ana amani zaidi kwenye HGK, huko BBB, BAB, BAA ni kawaida tu. Tatizo lake hajui chochote kuhusu future ya hiyo kombi......Mimi pia si mzuri katika hiyo.
Wadau, katika Karne hii, HGK inampeleka wapi mtoto?!!!!!!
Hawezi kusoma pharmacy kwa CBG , pharmacy kwa siku hizi lazima awe na physics advanceWazazi wakali wanataka asome CBG, wakiwa na malengo wampeleke pharmacy baadae Kisha wamfungulie duka la dawa ajitegemee (kwakuwa ajira ni changamoto). Uwezo wa mtoto huko upo kwenye Geography tu (ni A au B tu Kila mtihani au jaribio). Chemistry na biology haizidi C.

Leo ndio siku ulioongea point wewe 🤡,....mtoto ana ndoto ya kua mtaalamu wa lugha, sheria, utawala, muandishi habari, michezo, mambo ya kale n.k ubaya uko wapi hapo gentleman?
au wazazi wake wamepotoshwa nini kuhusu tahasusi HGK?
ok.Leo ndio siku ulioongea point wewe 🤡,....
Kumbe nzi akiacha ujinga anaweza kutengeneza asali.