Mtoto haambiliki kuhusu kombi ya HGK, nini future ya hii kombi?!!!


Wakati unawazia kufanya biashara, usijilinganishe na Bill Gates, Elon Musk (au pengine Rais wa Nchi); Jilinganishe na watu mnao endana endana ndio utafanikiwa...tofauti na hapo utabakia kuwa motivation speaker tu.....
Niliwahi kumwambia mtu, bei ya petrol Marekani ikiuzwa shs 10,000 kwa lita; Nirahisi sana ukilinganisha na shs 4000 kwa Tanzania. ILA motivation speaker wa bongo wanalinganisha bei, ya Marekani sijui Ujerumani na Tanzania..
 
Ni sahihi, lakini mazingira yetu ya Tanzania yamefanya kusiwe na utofauti wa waliosoma Arts na Sayansi

Wote ni wale wale tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…