Mtoto kugomea shule akiwa kidato cha Nne

Mtoto kugomea shule akiwa kidato cha Nne

Kimwakaleli

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2018
Posts
7,755
Reaction score
11,737
Nipo hapa Dodoma eneo la Kisasa karibu na block F, Block F ni eneo ambalo wanakaa watu wengi wa kipato cha chini. Kuna binti alibahatika kufaulu hadi kufika kidato cha nne2023!

Sasa cha ajabu alitoroka na kurudi, lakini hataki tena kuendelea na shule hadi wazazi wake wamempeleka polisi na polisi kuamuru akapimwe General hospital kama alivyotoroka hajarudi na mimba!

Ila cha ajabu Dr wa kuthibitisha hayupo toka jana! Je, huyu mtoto haoni maisha ya chini ya wazazi wake? Kichwani amejiandaa kufanya kazi gani na wapi? Hizi ni changamoto za kujitakia.

Nasikitika sana
 
Kwetu Kuna mpuuzi alitokea na akili kama hiyo eti hataki shule Tena ni form 5 hapo katoka mkoa karudi kukaa home sababu yake yeye alikuwa anataka kusoma majuu, alikodiwa polisi wakumfanyiaunder escort hadi kwa mkuu wa shule alipigwa mbata na kukabidhiwa.
 
Back
Top Bottom