Kimwakaleli
JF-Expert Member
- Apr 16, 2018
- 7,755
- 11,737
- Thread starter
- #21
Labda neno baby kaona jipya kwake na zuri!Hakuna cha afya ni akili timamu sema jeuri.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda neno baby kaona jipya kwake na zuri!Hakuna cha afya ni akili timamu sema jeuri.
Bora huyo kidato cha nne juzi nimetoka kumpiga mtoto wa dada yangu nusu niuwe yupo kidato cha kwanza hataki shule ila sijamshindwa bado
Akili anazo huyo. Mwambie kama amepata mchumba basi uko tayari kumjua na kama anataka ndoa basi utaonyesha ushirikiano kwenye ndoa yao lakin inabidi amlete mkweo ili umpe hela ya mtaji kama hajaajiriwa.Rafiki wa karibu anamshangaa pia kwa utandawazi huu kukataa shule!,Labda afya ya akili tukampim Mirembe.
Pole.
Sawa mkuu,tutazingatia ushauri wako!Akili anazo huyo. Mwambie kama amepata mchumba basi uko tayari kumjua na kama anataka ndoa basi utaonyesha ushirikiano kwenye ndoa yao lakin inabidi amlete mkweo ili umpe hela ya mtaji kama hajaajiriwa.
Fanya hivyo jitu litatoka mafichoni japo mmeshakimbilia polisi
Tumefanya sana Uungwana kuomba Mungu pia!Kuna elimu dunia pia mngejitahidi kukaa naye mkazungumza kiungwana zaidi.
Ni kama wa kiume akianza kuvuta bangi na kutoa tigoMtoto wa kike ni Hasara Sana , akianza kulala na wanaume Basi anaanza kuona anajua kila kitu majuto ni mjukuu
Inawezekana,maana haina kipimo!Huyo kapata jamaaa anamdanganya atamuoa na atakua kashalala nae
Mtoto wa kiume akipotea katika ramani Unaweza kumrudisha kwa urahisiNi kama wa kiume akianza kuvuta bangi na kutoa tigo
Ni msemo tuu,si kwa kila mtu!Mtoto umleavyo ndivyo akuavyo...
Okay h mme-conclude vipi baada ya kufanya yote..??Tumefanya sana Uungwana kuomba Mungu pia!
Wangu katika pekua nikamkuta na simu na alivyo mjanja namba hakuna wala chat yaani huwa anafutaLabda neno baby kaona jipya kwake na zuri!
Shule Ni Nini africans Ni wapumbavu Sana ,, yan mtoto hataku shule unampiga Sasa unataka akachezee ada yako si Bora huyo kakuambiaBora huyo kidato cha nne juzi nimetoka kumpiga mtoto wa dada yangu nusu niuwe yupo kidato cha kwanza hataki shule ila sijamshindwa bado 😬
Nope no zake ,, Bora aliwe na great thinker kuliko hao boda boda wa lemaWangu katika pekua nikamkuta na simu na alivyo mjanja namba hakuna wala chat yaani huwa anafuta
Wewe tulia hujui uchungu wa ada wala nauli jumlisha mahitaji yake mengine.Shule Ni Nini africans Ni wapumbavu Sana ,, yan mtoto hataku shule unampiga Sasa unataka akachezee ada yako si Bora huyo kakuambia
Tena kwa watoto wa kike ni hasara zaidi akishakataa kusoma.Huwa hawasikii kabisa,sijui huwa wanashikwa na shetani ganiHuyo yupo kama wangu tena alimjibu police sio lazima kila mtu asome niacheni sitaki shule aisee nilikuwa na hasira ambayo siwezi elezea siku ile.
Hapo akili yake yote anajua hako kavulana katamuoa na wataishi pamoja mpaka kifo kiwatenganisheYaani huyo wangu kaaza kuonja utam wa Kivulana jamanii nilipiga lisaa ataje huyo bwana wake hakutaja [emoji51]
Yaani alikuwa mtoto mzuri kinacho niuma shuleni anafanya vizuri Walimu wake wamenambia watamshauri.Tena kwa watoto wa kike ni hasara zaidi akishakataa kusoma.Huwa hawasikii kabisa,sijui huwa wanashikwa na shetani gani
Na wengi wanakuwaga na akili sana lakini gafla anagoma,hataki shule.Unaweza pasua mtu kichwa ukaishia jela.Yaani alikuwa mtoto mzuri kinacho niuma shuleni anafanya vizuri Walimu wake amenambia watamshauri.