Lupweko
JF-Expert Member
- Mar 26, 2009
- 23,566
- 24,891
😁 wee jamaa wewe!Bora huyo kidato cha nne juzi nimetoka kumpiga mtoto wa dada yangu nusu niuwe yupo kidato cha kwanza hataki shule ila sijamshindwa bado 😬
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😁 wee jamaa wewe!Bora huyo kidato cha nne juzi nimetoka kumpiga mtoto wa dada yangu nusu niuwe yupo kidato cha kwanza hataki shule ila sijamshindwa bado 😬
Ukimpiga akafa labda baada ya miaka 10 kila siku umpigeBora huyo kidato cha nne juzi nimetoka kumpiga mtoto wa dada yangu nusu niuwe yupo kidato cha kwanza hataki shule ila sijamshindwa bado 😬
Una watoto? Kama wapo omba yasikukute. Sisi wazazi tunakasirika sana mtoto akikataa shule kwakua maisha bila elimu mambo mengi yatakupita na kwenye makuzi yapo mambo mengi ya kurekebisha mtoto mimi sio mfuasi wa kupiga ila ikatokea binti yangu kagoma kwenda shule atanisamehe tu lazima nimchape kutoa ujinga kichwani.Shule Ni Nini africans Ni wapumbavu Sana ,, yan mtoto hataku shule unampiga Sasa unataka akachezee ada yako si Bora huyo kakuambia
No sitampiga namtafuti shule ya kiislamu ya kukaa huko kurudi ni likizoUkimpiga akafa labda baada ya miaka 10 kila siku umpige
Bora huyo kidato cha nne juzi nimetoka kumpiga mtoto wa dada yangu nusu niuwe yupo kidato cha kwanza hataki shule ila sijamshindwa bado [emoji51]
Mimi nilimpiga kwa hasira baada ya kunijibu jeuri huyu hajui uchungu wa mtoto ambaye unajua anaenda kupoteza Dira ya maisha yakeUna watoto? Kama wapo omba yasikukute. Sisi wazazi tunakasirika sana mtoto akikataa shule kwakua maisha bila elimu mambo mengi yatakupita na kwenye makuzi yapo mambo mengi ya kurekebisha mtoto mimi sio mfuasi wa kupiga ila ikatokea binti yangu kagoma kwenda shule atanisamehe tu lazima nimchape kutoa ujinga kichwani.
Asaidiwe huenda kweli ni mimba au matatizo mengine ya kisaikolojia na kiroho.Nipo hapa Dodoma eneo la Kisasa karibu na block F, Block F ni eneo ambalo wanakaa watu wengi wa kipato cha chini. Kuna binti alibahatika kufaulu hadi kufika kidato cha nne2023! Sasa cha ajabu alitoroka na kurudi, lakini hataki tena kuendelea na shule hadi wazazi wake wamempeleka polisi na polisi kuamuru akapimwe General hospital kama alivyotoroka hajarudi na mimba!
Ila cha ajabu Dr wa kuthibitisha hayupo toka jana! Je huyu mtoto haoni maisha ya chini ya wazazi wake? Kichwani amejiandaa kufanya kazi gani na wapi? Hizi ni changamoto za kujitakia.
Nasikitika sana
Hapo ndio umemaliza kabisa iwe ya kiisklamu yabkikristo au za masista aloo huko ndio uzezeta utampata kabisa bora ukae nae bampa to bampa ale mboko na ushauri na usimfiche mwambie elimu inaweza isimpe ajira ila ikamsaidia kutopoteza fursa muhimuNo sitampiga namtafuti shule ya kiislamu ya kukaa huko kurudi ni likizo
Ndo tupo polisi na uchunguzi hospital kama hana mimba!Okay h mme-conclude vipi baada ya kufanya yote..??
Sasa ale bure bila kaz ya kumuingizia kipato?Shule Ni Nini africans Ni wapumbavu Sana ,, yan mtoto hataku shule unampiga Sasa unataka akachezee ada yako si Bora huyo kakuambia
Ah tena unapiga haswa mtu anawezasema unamuonea ila ukiwaza hapo mbeleni nn kitamkuta aloo ndo unahisi joto la mwili kupanda. Watoto wa kike wanaumiza sana nimeshukuru sana serikali iliposema no bweni kwa watoto maana nilishaanza kupata mawazo mwakani std 4 ilikua lazima aende bweni ambapo ndio umri wa kushauri kuchapa na kuweka akili sawa nilikua najisemea moyoni akishaanza bweni ndio mpka std 7 alafu o level napo bweni saa ngapi mtoto atapata malezi maelekezo kulingana na vipindi vya makuzi now nina ahuweni japo kakileta ujinga hakana upande kanapona wala kutetewaMimi nilimpiga kwa hasira baada ya kunijibu jeuri huyu hajui uchungu wa mtoto ambaye unajua anaenda kupoteza Dira ya maisha yake
Ni vyema ukamlea n akumuonyesha madhara ya kila kibaya na kutoacha kuelekeza mpka akue ajitambueKuna saa nawaunga mkono wale wazazi waliokua wanagoma kusomesha watoto wa kike. Kuna mengine hayana akili,yakishaonja mwanaume tu yanaona yamemaliza kila kitu na kuanza kusumbua wazazi wao. Yakipata mimba na kutelekezwa utayaona yanavyorudi home kwa kulia na kuomba misamaha.