Mkuu, ulisahau kuwa na balance kwa ajili ya mtoto wa kike. KWA KAWAIDA unatakiwa ujue rafiki zake, ikiwezekana wote. Uwe karibu nao. Hao ndiyo watakusaidia kukupa siri za mtoto wa kike. Ila inatakiwa uwaweke karibu au wazazi wao wa kike. Utapata kila kitu. Baada ya kujua ukweli, unatakiwa ufanye umafia ili aachane na huyo kijana aliyembikiri.
Umafia wenyewe ni kumsakizia kuwa anamdinya mwenzake, na uongo kibao. Hapo utakomboka. Ndivyo tunavyowalea wasichana. Infact kulea msichana akivunja ungo ni rahisi, what we normally do ni baba kuwa karibu na binti yake. Asipokuwa karibu na mwanaume yeyote, lazima atafute mvulana ambaye baadaye ndiye atamharibu.