Mtoto miaka 4 apasua kioo cha basi la Shabiby kwa manati

Mtoto miaka 4 apasua kioo cha basi la Shabiby kwa manati

sana ,kama kioo kinapasuka fikiria imekupa jichoni harafu watoto tunawachekea tu ,shabaha na bibi yake hulipia gharama
Kwa gharama aliyotoa bibi mtu haijarishi kakopa au katumiwa na wazazi ila wamejifunza kitu hapo...

Sema ingekua dirisha wazi jua tayari tungekua na mremavu mmoja hapo mkuu..

Hatukatai jiwe linaweza kutua sehemu nyingine tofauti na jicho ....

Ila ndo imefika jichoni sasa
 
Mtoto anapataje mawazo ya kufyatulia manati gari..

Anatakiwa waibanike mikono yake kwenye moto Ili atie akili ""nidhamu haiji bila woga"" niamini Mimi dogo akabidhiwe mikononi mwa YESU KRISTO WA NAZARETH yeye ndie mlezi MKUU
Tena viboko vingi sana...
Maana atakuwa anampa Bibi yake hasara kila leo...

Kama hapo tu Bibi 170,000/=Imemtoka
 
Kwa kweli na kwenye KIPAGO tulipaka damu za ndege tulio waua..

Huyo dogo aangaliwe kwa umakini maana anaweza mletea shida bibi yake..
Alafu tunaweka sponje kwenye kiberenge ili iwe kama lubricant isije katika...

Nakumbuka tulikua tukienda tunabeba kisu full maji yaani huko huko kuna mto tunabeba na ndoano kabisa...

Mipeko hiyo
 
Dogo anatakiwa apewe malezi mazuri yatakayo msaidia kuepuka hizo tabia za kishenzi
 
Back
Top Bottom