Mtoto mikononi mwa polisi kwa kumlawiti mwenzake

Mtoto mikononi mwa polisi kwa kumlawiti mwenzake

John7371

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2018
Posts
2,994
Reaction score
6,676
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mtwara linamshikilia mtoto wa miaka 13 mkazi wa kijiji cha Minyembe halmashauri ya Wilaya ya Mtwara kwa tuhuma za kumlawiti mtoto wa miaka miwili.

Akizungumza na waandishi wa habari Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mtwara, Nicodemus Katembo amesema tukio hilo lilitokea Septemba 30, 2022.

Amesema mtuhumiwa anashikiliwa na polisi akisubiri uchunguzi ukamilike ili afikishwe mahakamani.

“Jeshi hilo lnakemea ukatili wa aina hiyo dhidi ya watoto, hatua kali za kisheria zitachukuliwa kwa wote wanaoendelea kufanya ukatili kama huo,” amesema Katembo.

Sabina Samweli, mkazi wa kijiji cha Minyembe amesema muda tukio linatokea watu wengi walikuwa mashambani na watoto hao ni ndugu.

"Watu walikuwa mashambani huyo mtoto aliitwa na kaka yake wakaingia ndani, ila alipolia kwa sauti yule mdogo, watoto waliokuwa wakicheza jirani na eneo hilo walikimbilia ndani kufika wakakuta tukio limeshafanyika yaani huyu kijana asingekuwa ndugu yake nafikiri mimi ndio ningeenda jela haiwezekani umfanyie mdogo wako unyama kama ule."

"Nimejisikia vibaya huyu mtoto ni mdogo sana kufanyiwa kitendo hiki kibaya sana yaani ameumizwa sana yaani amemuingilia kinyume cha maumbile hii sio sawa," amesema Samwel
 
  • Jeshi la Polisi Mkoa wa Mtwara linamshikilia mtoto wa miaka 13 mkazi wa kijiji cha Minyembe halmashauri ya Wilaya ya Mtwara kwa tuhuma za kumlawiti mtoto wa miaka miwili.
Mtwara. Jeshi la Polisi Mkoa wa Mtwara linamshikilia mtoto wa miaka 13 mkazi wa kijiji cha Minyembe halmashauri ya Wilaya ya Mtwara kwa tuhuma za kumlawiti mtoto wa miaka miwili.

Akizungumza na waandishi wa habari Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mtwara, Nicodemus Katembo amesema tukio hilo lilitokea Septemba 30, 2022.
Amesema mtuhumiwa anashikiliwa na polisi akisubiri uchunguzi ukamilike ili afikishwe mahakamani.

“Jeshi hilo lnakemea ukatili wa aina hiyo dhidi ya watoto, hatua kali za kisheria zitachukuliwa kwa wote wanaoendelea kufanya ukatili kama huo,” amesema Katembo.
Sabina Samweli, mkazi wa kijiji cha Minyembe amesema muda tukio linatokea watu wengi walikuwa mashambani na watoto hao ni ndugu.
"Watu walikuwa mashambani huyo mtoto aliitwa na kaka yake wakaingia ndani, ila alipolia kwa sauti yule mdogo, watoto waliokuwa wakicheza jirani na eneo hilo walikimbilia ndani kufika wakakuta tukio limeshafanyika yaani huyu kijana asingekuwa ndugu yake nafikiri mimi ndio ningeenda jela haiwezekani umfanyie mdogo wako unyama kama ule."
"Nimejisikia vibaya huyu mtoto ni mdogo sana kufanyiwa kitendo hiki kibaya sana yaani ameumizwa sana yaani amemuingilia kinyume cha maumbile hii sio sawa," amesema Samwel
Loh
Hali inazidi kuwa mbaya.

Wenye kuweza kuhamasisha malezi bora wapo bize na 2025.

Kinanuka kila kona
 
hayo mambo siku hizi yamekuwa mengi sana najaribu kuwaza sijui tatizo nini
 
Hakuna Sheria ya hivyo
Nafahamu hivyo. Kwamba kwa kuwa ni mtoto mwenye umri chini ya miaka 18 basi hawajibiki kwa kitendo kibaya cha kulawiti mtoto wa miaka miwili kwa vile hakujua anachofanya. Suala hili Wamarekani waliliona na hivyo kuwatunza gerezani hadi hapo walipofikisha miaka 18 ndipo wakapewa adhabu iliyostahili. . Tutawaachia maaluni wengi watende wapendavyo kwa kisingizio cha umri.
 
Ila serikali inabidi iboreshe mazingira ya jela kwa sababu mtu yeyote anaweza kwenda aisee.

Sasa umkamate mtoto kama huyu live ndio anamfanyia hivi mwanao si unaweza kuua kweli!
 
Hizi ni dalili za umasikini kwa watoto kuanza kufikilia ujinga kama huu.

umri huo aliapaswa awe anawaza kusuka mota na kutengeneza simple electric circuits.

Hivi China kuna matukio kama haya?
 
yaani mtoto mdogo kichwa kimeshakuwa installed files za kubanduana tena kulawiti kabisa, hii ni hatari sana.

Umasikini unazalisha mambo mengi sana ya ajabu, 13yrs Tanzania anawaza kumlawiti mwenzie na binadamu huyu tunahitaji aje kuwa skilled workforce siku za usoni.

Tuyaangalie haya mambo kwa kina na kuacha mzaha kabisa, madhara yake ni makubwa baadaye kuliko tunavyowaza.
 
Dream Queen anasema tuache hayo mambo yafanyike maana Ni haki yao waffiraji na wafirrrwaji, anasema dini inakataza kuhukumu sisi wanadamu,tumuachie mungu yesu atawahukumu
 
Back
Top Bottom