Mtoto niliyemkataa miaka 4 iliyopita, anafanana na mimi. Sasa ameletwa karibu na ninapoishi

Chai ya baridi
Siyo chai hayo mambo yapo sana,hata mimi ni muhanga wa jambo kama hilo, sema mwenzangu yeye alipata mwanaume akaolewa, lakini Mama mtu bado alituunganisha mi na mwanangu kimyakimya!!
 
Hamna nikimpanga na Hawa wa kwenye ndooa anakua wa 3 maana kwenye ndoa ninao wa 3 jumla na huyu wa 4
Jifunze mwanaume unapotoka nje ya ndoa yako hakikisha mwanamke unaetoka nae yupo nawe kimaslahi tu maana huo ndo uhalisia, binti anapotoka na mume wa mtu means yuko kimaslahi na si mapenzi kama ilivyo tu kwa huyo mwanaume anachepuka kitimiza haja zake tu na si vinginevyo. Ukiona mchepuko ameanza kukupenda kweli kimbia haraka hapo atakuletea matatizo maana wanawake akipenda yuko tayari kurisk chochote.
 
Kaombe radhi na msamaha ili umchukue mwanao au utimize wajibu wako kwake kama baba.
 
Hivi unakataaje mtoto wako hata kama umezaa na mtu ambaye humpendi?
Nadhani kwenye dunia hihii kuna kina sisi alafu kuna wengine ni makatili sana!
Kwa upande wangu nitateseka sana ikiwa mtoto wangu hajivunii uwepo wangu
 
Daa! Hii ni noma sana. Pole ndugu.
 
Hak
Hakika.
 
Huu ushamna was kukataa watoto ili kulinda ndoa nilishaukataa long sana!

ANza kutoa matumizi kwa mtoto!halafu lolote na liwe!!MMEKUTANA UKUBWANI KWANINI KUJIDANGANYA LAZIMA MZEEKE PAMOJA!!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…