Shooter Again
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 5,603
- 9,263
- Thread starter
- #141
SawaNikiona replies zako za jana 'tafuta hela' naona Bora akunyooshe tu cz ni kama bdo una akili za kitoto...sijui huo uanaume ulipewaje!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SawaNikiona replies zako za jana 'tafuta hela' naona Bora akunyooshe tu cz ni kama bdo una akili za kitoto...sijui huo uanaume ulipewaje!!
Siyo chai hayo mambo yapo sana,hata mimi ni muhanga wa jambo kama hilo, sema mwenzangu yeye alipata mwanaume akaolewa, lakini Mama mtu bado alituunganisha mi na mwanangu kimyakimya!!Chai ya baridi
Daah ni shidaHatari sana
Hamna nikimpanga na Hawa wa kwenye ndooa anakua wa 3 maana kwenye ndoa ninao wa 3 jumla na huyu wa 4Ulimpata wakati gani?
Ni mkubwa kuliko wanao?
Jifunze mwanaume unapotoka nje ya ndoa yako hakikisha mwanamke unaetoka nae yupo nawe kimaslahi tu maana huo ndo uhalisia, binti anapotoka na mume wa mtu means yuko kimaslahi na si mapenzi kama ilivyo tu kwa huyo mwanaume anachepuka kitimiza haja zake tu na si vinginevyo. Ukiona mchepuko ameanza kukupenda kweli kimbia haraka hapo atakuletea matatizo maana wanawake akipenda yuko tayari kurisk chochote.Hamna nikimpanga na Hawa wa kwenye ndooa anakua wa 3 maana kwenye ndoa ninao wa 3 jumla na huyu wa 4
Kakujengea mzungu wako wa denmark?Nimejenga
Kaombe radhi na msamaha ili umchukue mwanao au utimize wajibu wako kwake kama baba.Wanajamvi aisee nilimkataa mtoto miaka kama minne imepita.
Sasa ubaya leo kaja na mama yake sehemu ambayo karibu na kwangu, mtoto anafanana na mimi mpaka nimeona aibu nikaangalia pembeni.
Sasa ubaya mama yake sijui kafanya makusudi kahamia huu mtaa aisee yaani dogo bora asingefanana na mimi, ni noma.
Inapoelekea ndoa yangu itaharibika maana dogo anachezacheza na wenzake karibu na kwangu ubaya akija kuanza mazoea na wanangu naona kama nitaumbuka.
Nishaurini nifanyaje wadau.
Wewe ni MPAMBUVU SANA mkuu.Aah hiyo noma ubaya dogo ni WA kiume
Hakuna.Hivi kuna mwanaume mwenye akili anayekataa mimba?
Unafaa kuchalazwa bakola adharani.Mimi nilimKataa sababu nilikua nimeshaoa nikamuambia simtamtumbui huyo mtoto ndio akaondokaga Sasa nashangaa karudi tangia 2020
Daa! Hii ni noma sana. Pole ndugu.Wanajamvi aisee nilimkataa mtoto miaka kama minne imepita.
Sasa ubaya leo kaja na mama yake sehemu ambayo karibu na kwangu, mtoto anafanana na mimi mpaka nimeona aibu nikaangalia pembeni.
Sasa ubaya mama yake sijui kafanya makusudi kahamia huu mtaa aisee yaani dogo bora asingefanana na mimi, ni noma.
Inapoelekea ndoa yangu itaharibika maana dogo anachezacheza na wenzake karibu na kwangu ubaya akija kuanza mazoea na wanangu naona kama nitaumbuka.
Nishaurini nifanyaje wadau.
Hakika.Ohoo! Unashangaa amerudi tena! Kwani amekusemesha? Yeye si anaishi kwake na habari zake! Ila huyo mwanamke ni kiboko amejua kukutesa kisaikolojia!
Hapo lazima tu wewe ndio utakuwa wa kwanza kujiweka karibu naye ili kuua soo. Yeye wala hana hata habar na wewe mana silaha yake kubwa ni huyo mtoto kucheza na watoto wako!
Tena katika ulimwengu wa kiroho watoto wako na huyo dogo ipo nguvu inawaunganisha na ipo siku wataenda naye nyumbani kwako kutazama TV.
Huu ushamna was kukataa watoto ili kulinda ndoa nilishaukataa long sana!Wanajamvi aisee nilimkataa mtoto miaka kama minne imepita.