Ngiama makanda
JF-Expert Member
- Jan 8, 2016
- 1,552
- 2,741
Umekwisha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio kwamba nakataaUnakataaje damu yako?
Mwanaume usikose la kusema. Kama mkeo atakuja kuhisi kitu kuhusu kufanana kwa mtoto huyo na wewe.Wanajamvi aisee nilimkataa mtoto miaka kama minne imepita.
Sasa ubaya leo kaja na mama yake sehemu ambayo karibu na kwangu, mtoto anafanana na mimi mpaka nimeona aibu nikaangalia pembeni.
Sasa ubaya mama yake sijui kafanya makusudi kahamia huu mtaa aisee yaani dogo bora asingefanana na mimi, ni noma.
Inapoelekea ndoa yangu itaharibika maana dogo anachezacheza na wenzake karibu na kwangu ubaya akija kuanza mazoea na wanangu naona kama nitaumbuka.
Nishaurini nifanyaje wadau.
Sasa kama unamkubali shida ipo wapi? Mwambie mkeo una mtoto, hakuna jipya kwenye haya maisha mwisho ni kifo kinakusubiri.Unakataaje damu yako?
Sawa mkuuSasa kama unamkubali shida ipo wapi? Mwambie mkeo una mtoto, hakuna jipya kwenye haya maisha mwisho ni kifo kinakusubiri.
Sawa mkuuMwanaume usikose la kusema. Kama mkeo atakuja kuhisi kitu kuhusu kufanana kwa mtoto huyo na wewe.
1. Mwambie tatizo ni wewe mwaka ule ulipokuwa unaninyima unyumba kwa visingizio mbalimbali kwa kweli mke wangu nilichepuka ikawa hivyo unavyoona. Kuhamia huku imetokea kama bahati mbaya mume wake kahamia huku mara walipooana hivi karibuni, hata hajui kama niko huku. Tatizo ni wewe kamwe halingekuwepo hili.
DuuhUmekwisha
ZA mwizi Ni 40Dah hii ishakua noma Sana ubaya anakuja duka la mdogo wangu kununua bidhaa
DuuhZA mwizi Ni 40
Kwa hiyo unakili mtoto ni wako si Ndio?, kama Ndio lea, swali kati ya mkeo na huyo mtoto ni yupi alianza kuwa sehemu yako? Kama mwanamke aliingia kwenye ndoa mtoto akiwa amezaliwa, akubali yote, Amie ila mpange, kama ulizaa nje ukiwa na ndoa wewe Ndio mzinguzi tuliza chovyachovyaDah mbona mnaniponda naongea uhalisia au mlitaka nisisime ukweli
Ahahahah😃😃😃ubaya ubwela upo mlangoni kwake...Ubaya ubwela
Mwanaume anaanzaje kuzikana mbegu zake? Mimi hapana kwakweli.Ahahahah😃😃😃ubaya ubwela upo mlangoni kwake...
Halafu wanaume wanaokataa watt ni wapumbavu...
Yani ni laaana kabisa...ww mkubali lea mwanao akiwa kwa mama ake basi...Mwanaume anaanzaje kuzikana mbegu zake? Mimi hapana kwakweli.
Kabisa. Sasa ona, mamaake mtoto kafyatua kopi utadhani mbaba alitumbukizwa kwenye mashine ya kutolea kopi, kumbe mbususu..!!Yani ni laaana kabisa...ww mkubali lea mwanao akiwa kwa mama ake basi...
Hahahahaah na mara nyingi huwa hivyo mimba zenye mashaka..au mimba zenye kukataliwa Mungu huwa anawanyoosha wababa...Kabisa. Sasa ona, mamaake mtoto kafyatua kopi utadhani mbaba alitumbukizwa kwenye mashine ya kutolea kopi, kumbe mbususu..!!
Kwani nyie huwa hamnyooshwi?Hahahahaah na mara nyingi huwa hivyo mimba zenye mashaka..au mimba zenye kukataliwa Mungu huwa anawanyoosha wababa...
Kuna mwanamke anamkataa mtoto?Kwani nyie huwa hamnyooshwi?
Uweeeeeeeeeeeeeeee...!!! Viroba vyenye watoto huko majalalani huwa vinatupwa na wanawake. Huko ndo kuwakataa kwenyewe..!!Kuna mwanamke anamkataa mtoto?