Tetesi: Mtoto pendwa kapatwa na nini? Yuko hoi kwa Madiba, inadaiwa ni sumu
Ni kweli mkuu, viongozi kulindwa mpaka na helicopter au kikosi kizima ni mbwembwe tu na kupoteza rasilimali
Angalia Trump majuzi kazungukwa na usalama ila ikapenya
Indira aliuwawa na baadae mtoto wake halafu mwanae wa pili kwa ndege
Saddat aliuwawa alipozuru makaburi
Mwingine namkumbuka Bandaranaike pia aliuwawa na ulinzi wake wa binadamu
Dawa sio kuongeza ulinzi ila dawa ni kutenda haki na kuichukia dhulma
 
Back
Top Bottom