Killing machine
JF-Expert Member
- Jul 24, 2022
- 2,052
- 2,995
Mackochali anaumwaHii code ngumu Sana kufungua
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mackochali anaumwaHii code ngumu Sana kufungua
Kondoo mwituYule ni mwamba ngoja apone atawanyoosha hawatokaa.
Ee mwenyezi Mungu saidia kondoo yako hii ipone haraka uwezekanavyo
Yeye mwenyewe ana walinzi kila kona. Huondoka kwenye kusanyiko bila kuagaSi alikuwa na yule mtaalam wa maji na mafuta mbona hajampa upako hadi akimbizwe bondeni?
Nimeifungua... lakini naona kiza...hawa vijana wa "kimo" wanatupeleka wapi?Fungua code hii!! Hata tuliosoma Cuba tumeshindwa
Kama ni kweli ni hatariiiHizi habari ingawa za umbea lakini zinatisha.
...Nani?
Dawa sio kuongeza ulinzi ila dawa ni kutenda haki na kuichukia dhulmaNi kweli mkuu, viongozi kulindwa mpaka na helicopter au kikosi kizima ni mbwembwe tu na kupoteza rasilimali
Angalia Trump majuzi kazungukwa na usalama ila ikapenya
Indira aliuwawa na baadae mtoto wake halafu mwanae wa pili kwa ndege
Saddat aliuwawa alipozuru makaburi
Mwingine namkumbuka Bandaranaike pia aliuwawa na ulinzi wake wa binadamu
Bi mkubwa nawe watishika tena!?Hizi habari ingawa za umbea lakini zinatisha.
Si anasema drama. Subiri na yeye.
Hivi anajua wananchi wakilalamika kwa mungu na shetani wanasikilizwa
Tutasikia ni mzima wa afya yuko ofisini anachapa kaziNimekumbuka beirut na kupotea kwa Saa 9 kwa kuliwa na Chatu.
Yule ni oppotunist,Si alikuwa na yule mtaalam wa maji na mafuta mbona hajampa upako hadi akimbizwe bondeni?
Wewe ni mwana ccm mwenzangu ujue, nisije kuchoma ukasema nina roho mbaya, yaani hata wewe unamuombea demise kada wetu? Siamini.Wote tuseme amina
Mkewe ni muhangaza?Mjane mniachie mimi, napajua mpaka ukweni Ngara, na nishaandaa ngombe za kupeleka kwa ajili ya mahari