Afya haikuwa tele ....ndo alikuwa ana recover changamoto ya upumuaji...... clinically! Looked weak, cough every few seconds ....so kulikua na chembe za ukweli kiasi
 

Yan Bashite ana drama kama za Bi.Mkubwa Kizimkazi

Kutibu ni swala Moja ipa Imani Kwa wanaotoa tiba ni swala jingine.

Nalvany alipoenda kutibiwa Germany ni kwamba Russia hakuna madaktari au vifaa tiba?

Ni hakika mama ameboresha sekta ya Afya kuliko yeyote kablsa

kila kitu ni so strange, hata tundu lisu kapotea sijamsikia muda mrefu siyo kawaida ya wafuasi wake kutokuposti chochote kumhusu, anyway tunaishi in dangerous times …
Katika watu wanaoumizwa na kutosikika Tundu Lisu mm ni mmoja wao. Ingawa naamini huenda anaandaa nondo nyingine. Maana CCM wanatakiwa uwaandalie nondo za kutosha wao wameishiwa tayari. Wanamtegemea Msigwa Kwa Sasa ndo Naibu Katibu Mwenezi. Kwa dharura
 
Lakini alionekana kukuona cha moto huko alipokuwepo.
 
Sio MBOGA .... huyu influence na interests zake kwenye hii nchi ni finyu.... Huu uzushi unatungwa na Nyumbu kumchafua Mboga wakidhadi mwizi wa magari atapata ubunge tena A town .......wapo watu kondakta kawataja kwa codes hadharani( mawaziri tena kakazangu) "elewa maneno MAWAZIRI KAKA ZAKE kondakta".
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…