DAB maana yake nini na kwanini wanamuita hivyo ?!
[/QUO
Jina lake ni Daudi Albert Bashite.
Nenda hapo kolomije watakwambia P.M siyo jina lake bali ni jina la mkate tu
Alilipata huko kwny chuo cha uvuvi bagamoyo.
Soma threads za Jf miaka ile ya 2015 hadi 2018 utaelewa zaidi.
katoroka nchi tayari. kwa fununu za uhakika. ila ni mzima, manake angeumizwa kidogo tu dunia nzima wangejua, ana kelele jamaa yule kama umerusha jiwe katikati ya kundi la kunguru. angepiga kelele kila mtu angejua.Katika watu wanaoumizwa na kutosikika Tundu Lisu mm ni mmoja wao. Ingawa naamini huenda anaandaa nondo nyingine. Maana CCM wanatakiwa uwaandalie nondo za kutosha wao wameishiwa tayari. Wanamtegemea Msigwa Kwa Sasa ndo Naibu Katibu Mwenezi. Kwa dharura
Si huyo huyoKwani unamjua ni nani?
Nabii yupi maana wapo wengiHebu wasilianeni na nabii mkuu mtajua kila kitu kuhusu RC wetu, acheni uchawi.
Ha ha ha haPeter Msechu ataingia studio?
Mpigie rafiki yake Athumani 0652627771 atakupa taarifa zoteTusubiri labda Lucas Mwashambwa anaweza kuwa na habari za uhakika zaidi.
Athuman au Othuman?Mpigie rafiki yake 0652627771 Anaitwa Athuman atakupa story na mkasa wote
Athumani yeye ndiyo mzee wa habari matukio yote Tz wewe mpigie tu atakupa story zoteAthuman au Othuman?
Usituingize kwenye balaa
Ukitaka story za viongozi wote mpigie Athumani 0652627771 atakupa kila kituSiku hizi kila usemacho nakizingatia, ila watoto pendwa ni wengi, who is who?.
Ni yule wa ... Makabila au yule ... wa Dala Dala?.
P
Kwa nini?Afe tuuu
Kwani hilo linashangaza kutoka kwa mtu kama wewe?Sikushangai, ana uwezo na upeo mkubwa na mpana, kuliko binadam wengi sana.
Ili iweje?Akufe haraka sasa...
Dua la kuku ..........Dawa ya moto ni moto ,hilaji ilagi ,aliyeua kwa upanga atakufa kwa upanga.
Halikushangaza kutokea kwako litashangaza kutokea kwangu?Kwani hilo linashangaza kutoka kwa mtu kama wewe?