Ni uzushi tu wa kutafuta kiki
 
RAS wa ARUSHA ametoa taarifa kuwa RC yuko likizo. Hii ni taarifa rasmi ya serikali haya mengine yapuuzwe kama Mh.Waziri Mkuu alivyowahi kusema siku za nyuma
 
Mtoto pendwa yuko hoi sana sana sana yaani hoi, inasemekana yuko kwa Madiba, je ni hali ya kawaida au kuna cha zaidi?

Nimekumbuka beirut na kupotea kwa Saa 9 kwa kuliwa na Chatu.

Britanicca.
Kila mtu ataubeba msalaba wake malipo ni hapa hapa Dunia
 
Tetesi zimezagaa kuwa Makonda amewekewa sumu na amekimbizwa South Africa kwa matibabu.

Katibu tawala Mkoa wa Arusha amedai kuwa Paul yupo likizo.

Sasa watanzania tuamini lipi? Kwa nini taifa letu halipendi uwazi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…