Mvinyo mpya
JF-Expert Member
- Aug 24, 2013
- 1,052
- 2,866
Watanzania lohKwenye vijiwe vingi watesi wanasema Hachomoki.
KAZI ni kipimo cha UTU
Hahaha njoo geto
Una uhakikaJamaa amekufa 100% confirmed.
Ambavyo wewe umeelewa vingine?Na hisi na yeye kaelewa kama wewe...
Ile tume ilitoa tuhuma dhidi yake,na kutoa taarifa kwenye vyombo vya habari.si ukute anatengeneza story tu hapo hajalishwa sumu wala nini. ameona hasikiki.
Kijana wa Hai anahusikaje hapo?Ni uzushi tu kuweni na amani nime ongea nae leo asubuh tu. .lakini jiandae kisaikolojia kijana wa Hai ana rudi mjinii soon 🚨🚨
Katibu tawala keshasema DAB yupo likizo na yanayomtokea mtu akiwa likizo si jukumu lake kujua!YUPO OFISINI ANACHAPA KAZI
Wewe ndo unawaza nje ya Box! Kaanga likizo week mbili na kikubwa kama Boss wake anajua yuko wapi hata mseme kafa wala hajali!Ile tume ilitoa tuhuma dhidi yake,na kutoa taarifa kwenye vyombo vya habari.
Tume katika maelezo yake ilisema,aliitwa na hakwenda mbele ya tume.
Labda,lengo ni kupunguza makali ya "taarifa ya tume" au "kutafuta huruma" kutoka kwa Mkuu!!!
Hahaha king himself. Vipi Jamaa yako hapo chini kwenye picha?
View attachment 3053692
Unaambiwa wako na konyagi mkononi huku wakisikilizia kama msechu kakatiza mitaa yenye studio.More than 21 people are still here, waiting for Makonda's death
DuhKwenye vijiwe vingi watesi wanasema Hachomoki.
KAZI ni kipimo cha UTU
AiseWewe ndo unawaza nje ya Box! Kaanga likizo week mbili na kikubwa kama Boss wake anajua yuko wapi hata mseme kafa wala hajali!
Ile taarifa ya tume ilikuwa na ajenda mbaya sana ndo maana Bwana Mdogo kaamua atulie kidogo then aje tena ulingobi!
Pia yeye ni mtu wa Media na Propaganda na Boss wake ndo alichomtuma lazima afanye hivo!
Hiyo sumu ya week sasa haijamuua tu ni sumu gani hiyo labda ya PUTIN!
Mi najua sumu ikikukosa ukachoropoka kinachofata kutibu ni side effect kwenye organ za mwili ila jambo la kufa tena inakuwa nadra!
Hapo kuombea tu effects zisiasili mfumo wa organ na neva za fahamu na kusababisha abnormality kwenye mfumo wa mwili kama Lowassa ilivyomtokea!
Kumbe yuko likizoKatibu tawala keshasema DAB yupo likizo na yanayomtokea mtu akiwa likizo si jukumu lake kujua!
Hapo kuna codes Fulani hivi kapita nayo🤔🤔
Wana was ulimwengu wana hekima kuliko Wana was nuruni!!Code ngumu hii ila ina ukweli 100%
Baby are you really serious. Baby I terribly miss you.Unaambiwa wako na konyagi mkononi huku wakisikilizia kama msechu kakatiza mitaa yenye studio.