Tetesi: Mtoto pendwa kapatwa na nini? Yuko hoi kwa Madiba, inadaiwa ni sumu
Makonda anawasalimia yupo vizuri anaendelea na kazi.Ni Mungu tu anayeweza kumuondoa dunia.acheni majungu fanyeni kazi.
 
si ukute anatengeneza story tu hapo hajalishwa sumu wala nini. ameona hasikiki.
Ile tume ilitoa tuhuma dhidi yake,na kutoa taarifa kwenye vyombo vya habari.
Tume katika maelezo yake ilisema,aliitwa na hakwenda mbele ya tume.
Labda,lengo ni kupunguza makali ya "taarifa ya tume" au "kutafuta huruma" kutoka kwa Mkuu!!!
 
Wewe ndo unawaza nje ya Box! Kaanga likizo week mbili na kikubwa kama Boss wake anajua yuko wapi hata mseme kafa wala hajali!
Ile taarifa ya tume ilikuwa na ajenda mbaya sana ndo maana Bwana Mdogo kaamua atulie kidogo then aje tena ulingobi!
Pia yeye ni mtu wa Media na Propaganda na Boss wake ndo alichomtuma lazima afanye hivo!
Hiyo sumu ya week sasa haijamuua tu ni sumu gani hiyo labda ya PUTIN!
Mi najua sumu ikikukosa ukachoropoka kinachofata kutibu ni side effect kwenye organ za mwili ila jambo la kufa tena inakuwa nadra!
Hapo kuombea tu effects zisiasili mfumo wa organ na neva za fahamu na kusababisha abnormality kwenye mfumo wa mwili kama Lowassa ilivyomtokea!
 
Aise

Ova
 
Code ngumu hii ila ina ukweli 100%
Wana was ulimwengu wana hekima kuliko Wana was nuruni!!

Wenzenu wanapiga kunuti Hadi kinaeleweka wakati wengine wakidanganywa na na maji ya baraka ya kunyunyiziwa!!?

Wenzenu wanaenda Hadi chini kuzungumza na mwenye ulimwengu na kuomba cheo !!!!

Wavaa kanzu ni hatari sana kuliko wavaa suti!
 
Back
Top Bottom