Ile tume ilitoa tuhuma dhidi yake,na kutoa taarifa kwenye vyombo vya habari.
Tume katika maelezo yake ilisema,aliitwa na hakwenda mbele ya tume.
Labda,lengo ni kupunguza makali ya "taarifa ya tume" au "kutafuta huruma" kutoka kwa Mkuu!!!
Hii sasa ndio Point kubwa iliyo sababisha hii drama ya sumu itengenezwe !!
Inaitwa funika kombe ……… 🙄🙌
 
Unalifahamu balaa la Britanicca?
 
Balaa la kusema ukweli au kubahatisha ??!
Kwa ufahamu wako akitokea mtu akakwambia Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa atatenguliwa na mtu fulani atateuliwa kushika nafasi hiyo na baada ya siku mbili ikawa hivyo,Je mtu huyo kabahatisha?.

Je unadhani mtu aliyeweza kupata taarifa nyeti kiasi hicho, ( Kumbuka tunazungumzia nafasi ya Mkurugenzi wa usalama wa Taifa,nafasi ambayo mtu akiteuliwa huapishwa siku hiyo hiyo) anaweza kushindwa kupata habari kama hii aliyoleta ya RC kuumwa?.
 
Konekshen ya kushuka chini mkuu kuongea na wadau...huku juu naona miyeyusho tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…