Tetesi: Mtoto pendwa kapatwa na nini? Yuko hoi kwa Madiba, inadaiwa ni sumu
Ile tume ilitoa tuhuma dhidi yake,na kutoa taarifa kwenye vyombo vya habari.
Tume katika maelezo yake ilisema,aliitwa na hakwenda mbele ya tume.
Labda,lengo ni kupunguza makali ya "taarifa ya tume" au "kutafuta huruma" kutoka kwa Mkuu!!!
Hii sasa ndio Point kubwa iliyo sababisha hii drama ya sumu itengenezwe !!
Inaitwa funika kombe ……… 🙄🙌
 
Nawaza tu! Makonda kalazwe kwa sumu kali hospital hizi za kibongo then anasafirishwe kwenda South Africa bila habari reliable yenye ushahidi hata wa picha?
Kwa maana Makonda sio Rais kwamba anaulizi unaowafanya watu wasichukue picha au kutoa taarifa sahihi juu yake!
Yeye kaenda kutulia kwanza baada ya hekaheka miezi mitatu ya mwanzo!
Mungu amlinde Mheshimiwa Makonda!
Unalifahamu balaa la Britanicca?
 
Balaa la kusema ukweli au kubahatisha ??!
Kwa ufahamu wako akitokea mtu akakwambia Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa atatenguliwa na mtu fulani atateuliwa kushika nafasi hiyo na baada ya siku mbili ikawa hivyo,Je mtu huyo kabahatisha?.

Je unadhani mtu aliyeweza kupata taarifa nyeti kiasi hicho, ( Kumbuka tunazungumzia nafasi ya Mkurugenzi wa usalama wa Taifa,nafasi ambayo mtu akiteuliwa huapishwa siku hiyo hiyo) anaweza kushindwa kupata habari kama hii aliyoleta ya RC kuumwa?.
 
Wana was ulimwengu wana hekima kuliko Wana was nuruni!!

Wenzenu wanapiga kunuti Hadi kinaeleweka wakati wengine wakidanganywa na na maji ya baraka ya kunyunyiziwa!!?

Wenzenu wanaenda Hadi chini kuzungumza na mwenye ulimwengu na kuomba cheo !!!!

Wavaa kanzu ni hatari sana kuliko wavaa suti!
Konekshen ya kushuka chini mkuu kuongea na wadau...huku juu naona miyeyusho tu.
 
Back
Top Bottom