mzeewaSHY
JF-Expert Member
- Aug 31, 2021
- 8,916
- 8,630
Hii sasa ndio Point kubwa iliyo sababisha hii drama ya sumu itengenezwe !!Ile tume ilitoa tuhuma dhidi yake,na kutoa taarifa kwenye vyombo vya habari.
Tume katika maelezo yake ilisema,aliitwa na hakwenda mbele ya tume.
Labda,lengo ni kupunguza makali ya "taarifa ya tume" au "kutafuta huruma" kutoka kwa Mkuu!!!
Inaitwa funika kombe ……… 🙄🙌