Hakika👊
 
Mtoto pendwa yuko hoi sana sana sana yaani hoi, inasemekana yuko kwa Madiba, je ni hali ya kawaida au kuna cha zaidi?

Nimekumbuka beirut na kupotea kwa Saa 9 kwa kuliwa na Chatu.

Britanicca.
Itakuwa TISS wameamka kweli wameona nchi isiende kiupuuzi. Si unajua juzi walipitishiwa Sheria kuruhusiwa rasmi kumimya.
 
Hawana Mrusi ila wana Myukraine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…